Kadi za CHADEMA zagombaniwa chuoni

Lumumba fc
 
CHADEMA,CCM,CUF,TLP nk
Wote wagonjwa tu,bora nibaki mtanzania huru nisie na chama.
 
Ukombozi waja Tabora, influence ya wasomi hao itawaimpact waswahili wanywa kahawa na wacheza bao wa ng'ambo, kanyenye, isevya na kiloleni.
 
Ningeshangaa sana kumwona kijana mwenye uelewa wa hali ya juu huko SAUT akitaka tuendelee kufanya kitu kile, na watu walewale kama baba zao walivyofanya kwa miaka 50, na kutarajia tujikwamue.

Only absolutely mediocre youngsters would support ccm at this juncture.

Sasa hizo kadi labda zilipiganiwa lakini hazikugombaniwa. Kulikuwa na ugomvi?
 
CHADEMA,CCM,CUF,TLP nk
Wote wagonjwa tu,bora nibaki mtanzania huru nisie na chama.

Kura pia uwa upigi.Halafu ikija mijadala ya matatizo tuliyo nayo hapa nchin inayosababishwa vingooz wabovu ukosi kuchangia na kulalama.
 
Kura pia uwa upigi.Halafu ikija mijadala ya matatizo tuliyo nayo hapa nchin inayosababishwa vingooz wabovu ukosi kuchangia na kulalama.

Kura ni haki ya kila mtanzania mwenye akili timamu na umri usiopungua miaka 18. Kura sio haki ya mwanachama tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…