Kadi za CHADEMA zagombaniwa chuoni



Wapo wajinga watakaoamini upuuzi huu.
 
Kadi wanagombania ila kura wanapigia CCM
 

Nawapa Big Up hao wanachuo!
Mungu Ibariki CHADEMA!
 
kuchukua kadi peke yake hakutoshi, bali wajiandikishe, wahamasishe wananchi wote wakajiandikishe, wakipigie kampeni chama chao na kuwashawishi CCM na vyama vingine pamoja na sisi tusiokuwa na vyama ili tukipigie kura chama chenu. Bila kusahau kulinda kura zenu wakati wa uchaguzi maana CCM kwa wizi wa kura ni nambari wani.
 
asante kwa taarifa ccm chama cha washenzi na wahuni wakubwa chadema ndo mkombozi wa wananchi
 
Magaidi hayawezi kuwa mpango wa mungu, labda mungu wa mabox
Hivi gaidi ni nani kati ya waliomng'oa Ulimboka meno!? Kibanda macho? Je Ritz1 yuko chama gani!?? ataendelea kuua hadi lini!?
 
ukombozi wetu ni bure kama huutokani na miongoni mwetu, maana kudumu kwa fikira sahihi kwa manufaa yetu sote ni jitihada zisizo na kikomo
 
Hawajitambui''' ilishatokea chuoni kwetu miaka hiyoooo kumbe walikuwa wakigombania madaraka mwishowe kila mmoja akachukua chake na kusepa. R.I.P CDM.
Acha porojo miaka hiyo ni ipi na ni madaraka gani yanayogombaniwa, mimi mbona nina kadi ya CDM na niliichukua nikiwa chuoni na sikuixhukua kwa ajili ya madaraka? Wanaochukua kadi kwa ajili ya madaraka wapo CCM kwani G.Mgimwa Uhai wa kadi yake ya CCM haujafikia hata mwaka mmoja.
 

Bravoooooooo vivaaaaaaaaaaaaaaaaa CHADEMA MWENDO MDUNDO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…