Wauwaji, wamwaga damu na wamwagia watu tindikali pekee ndio hawafurahishwi na michango yangu hapa jukwaani.Toka nimeanza kuifahamu ID yako sijawahi kuona umeandika kitu cha kuelimisha,kufurahisha wala cha kuonya jamii. Wewe ni mtu au limashine? Yaani hovyo hovyo! Bora kufuga bobi atabweka wezi wakija nyumbani kuliko kukaa na wewe. Nenda kapate tiba.
Sent from my iPad using JamiiForums
Wauwaji, wamwaga damu na wamwagia watu tindikali pekee ndio hawafurahishwi na michango yangu hapa jukwaani.
Magaidi hayawezi kuwa mpango wa mungu, labda mungu wa mabox
Magaidi hayawezi kuwa mpango wa mungu, labda mungu wa mabox
Toka nimeanza kuifahamu ID yako sijawahi kuona umeandika kitu cha kuelimisha,kufurahisha wala cha kuonya jamii. Wewe ni mtu au limashine? Yaani hovyo hovyo! Bora kufuga bobi atabweka wezi wakija nyumbani kuliko kukaa na wewe. Nenda kapate tiba.
Sent from my iPad using JamiiForums
Wauwaji, wamwaga damu na wamwagia watu tindikali pekee ndio hawafurahishwi na michango yangu hapa jukwaani.
Toka nimeanza kuifahamu ID yako sijawahi kuona umeandika kitu cha kuelimisha,kufurahisha wala cha kuonya jamii. Wewe ni mtu au limashine? Yaani hovyo hovyo! Bora kufuga bobi atabweka wezi wakija nyumbani kuliko kukaa na wewe. Nenda kapate tiba.
Sent from my iPad using JamiiForums
Nyege hizo
...Mkuu huyo gamba maharage ya mbeya kasharowa !!!!
Hawajitambui''' ilishatokea chuoni kwetu miaka hiyoooo kumbe walikuwa wakigombania madaraka mwishowe kila mmoja akachukua chake na kusepa. R.I.P CDM.
Niliwahi kusikia kuwa CCM inapendwa na matahiira! kuna ukweli hapo
Mkuu usihangaike na huyu jamaa ni mmoja ya watu walimaliza chuo wakaajiliwa na ccm kwenye kitengo cha propaganda na matusi kwenye mtindao. Tuliowengi tunapost humu kwa hiari yetu tukiwa na mawazo huru ndiyo maana utaona tofauti na hawa propagandist wa Lumumba. Hawewezi kupost kitu with their free mind maana akili yao ya kawaida wameshikiwa na Nape pale Lumumba. Kila wanachopost kiko audited na bosi wao Nape hivyo hawezi kupost kitu ambacho haikiitukani chadema wala mtu anayeitetea chadema. Wasipofanya hivyo ajira yao inakoma immediately. Mwingine maarufu siku hizi ni Simiyu yetu halafu eti ni mnyantuzu, sijawahi kusikia mnyantuzu kama huyu maana wanayatunzu hata wale ambao hawajakanyaga eneo la shule bado wanaujua uovu wa ccm na wameikataa mazima! Ukiona ccm wanashinda uchaguzi usukumani wamenunua kila kura waliyopata Muulizeni chenge kama anahamu nao!
Hawajitambui''' ilishatokea chuoni kwetu miaka hiyoooo kumbe walikuwa wakigombania madaraka mwishowe kila mmoja akachukua chake na kusepa. R.I.P CDM.
Uliona ile video ya kiongozi wa CCM aliyozungumza mbele ya Mwigulu kule Kalenga? Hao ndio wauaji na wamwaga damu. Na wameanza na Padre,laana kubwa hii.
Sent from my iPad using JamiiForums
Wajinga pekee ndio watagombania kadi za wauwaji