Magaidi hayawezi kuwa mpango wa mungu, labda mungu wa maboxChadema mpango wa mungu
Magaidi hayawezi kuwa mpango wa mungu, labda mungu wa mabox
Magaidi hayawezi kuwa mpango wa mungu, labda mungu wa mabox
Wanazitaka ili kujaradia madaftari yao ni si vinginevyoJana kulikuwa na ugawaji wa kadi wa chadema katika chuo cha Saut Tabora na mara baada ya tangazo la uwepo wa kadi vijana walionekana wakipigana vikumbo kupata kadi hizo, ambapo baada ya mfupi kadi ziliisha nilijaribu kuongea na baadhi ya vijana kwanini wamegombania kadi ya chadema wakasema ''kuwa na kadi ya chadema ni uzalendo na kuonyesha unaipenda nchi yako''
Hongera chadema kwa kukubalika na wasomi wetu
Wanazitaka ili kujaradia madaftari yao ni si vinginevyo
Chadema mpango wa mashetaniChadema mpango wa mungu
Chadema mpango wa mashetani