Kadi ya Yanga S.C inahitajika haraka sana.

Kadi ya Yanga S.C inahitajika haraka sana.

Aisee usizunguke sana peleka posa kabisa biashara ya uanachama wapo wengi mno!

Mkuu, huyu Mzee anaweza hisi mimi ni mamluki.. Hivyo ili kuruka hiki kiunzi, kadi ya Yanga S.C inahitajika haraka sana.
 
Kocha Mkuu wa Yanga S.C akiwa na mtoto wake.

View attachment 285380

Wakuu zangu Makoye Matale bujashi25 mkolaj nifah Nyenyere Danny greeny TEKNOLOJIA na wanajangwani duniani kote, nahitaji kadi ya uanachama haraka sana.

Mkuu sembo vipi tena? Kuna nini kimekuvutia hadi uhitaji kadi ya Yanga kwa haraka namna hiyo? Kile kitu ni chetu tulio ndani ya chama, hapa hakuna kukaribisha mgeni kama wewe na kukupa usukani wa ndege uindeshe kwa kubadili gia angani. Hata ndani ya mikia vitu hivi vipo nenda pale vilipo utapata!

Zawadi hii namzawadia Mkuu mkolaj aendelee naye.
 
Last edited by a moderator:

Haha.. Ila Mkuu wahenga wanasema "kizuri kula na nduguyo".. Nami ndugu yenu mnifikirie.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom