Kadi ya NMB inaruhusu manunuzi mtandaoni?

Namba za kadi zikichukuliwa na mtu mwingine utakuwa unamlipia shopping zake zote hivyo suala la fedha benki ni la mteja na benki yake na siyo la kuanika JF au kwa mtu mwingine tofauti na benki
Si itahitaji password? Atatoa wapi
 
Mimi natumia master card ya nmb huwa nanunua vitu mitandao mbalimbali kama vile Aliexpress,Ebay,Banggood e.t.c!!......Sijawahi kuona tatizo lolote!
Mkuu huo banggood ni mtandao wa nchi gani? Na je ilikuchukua siku ngapi kupokea order yako?
 
Hapo unanitega mkuu kifupi ni hivyo au unaweza kujaribu kuandika namba ya kadi yako wakiipata wajuaji utajua kama inahitaji password au la.
Kumbe ndo maana wanakataza kutupa risist ZA benki
 
Back
Top Bottom