Kada zote ni sawa, tusiwakuze Madaktari hiyo ndiyo kazi yao

Kama kuna vitu zaidi ya kimoja ulinganifu haupo, tukubali tu daktari na Engineers wanagusa maish ya watu directly.
Moja ameweka ubunifu duniani na kuwa rahisi ktk maisha yetu na mwingine anakarabati miili yetu.
Hizo ndo kozi muhimu hapa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Toa ujinga hapa vitu vyote vyategemeana..huyo daktari bila mkulima ataishije?? Bila mwalimu angefika hapo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ww ni intelligent.kwanza me naona kada muhimu hapa bongo kama so dunia kwa ujumla ni kilimo tu.. Hawa mabwana|mabibi shamba na wakulima wao ni muhimu sana inabidi walipwe mikwanja ya maana
 
Back
Top Bottom