Kada wa CHADEMA kuiaga SAUT leo

Si ungeandika na wewe yako yenye hicho kichwa cha habari.
 
je,cuf,wahariri na wabunge particularly wa ccm na watetezi wa haki za binadam nao ni wana m4c?
Hapa ndo tunakuja kuamini kuwa m4c ni chama makin,cha wanyonge,ukweli na uhakika tukiunge mkono vilivyo.

kukosoa na kusema maovu yanafanywa na ccm sio lazima uwe mwanachama wa chadema. acha ukada wa chama. unajua haya pesa EPA. Kashfa ya Richmund, twiga kupelekwa urabuni, mgodi wa kiwira na maisha magumu kwa sasa. wewe kada wa ccm unasema ni poa tu. wewe unaiifaidi keki ya taifa ndiyo maana unaisifia serikali ya magamba.ujue yana mwisho.
 

Viva Dr Kitima. Aliongea facts in such a way alitoa speech ya zaidi ya 3hours but umati ulikuwa tulivu ukitaka aendelee ku deliver!
 
labda useme anautetea UKATOLIKI na si wananchi, nani asiyemjua huyu mzee alivyo na chuki dhidi ya uislam wala hafichi.

Padri hawezi kuupenda wala kuuthamini uislamu kwani waislamu humwita mkristu kafiri. Lazima kafiri amchukie anayemwita kafiri. Lakini pia hakuna shekhe wala imamu anayeupenda ukristu kwani kwa muislam mkristu ni kafiri. Hata mimi nauchukia sana uislamu na natamani ungefutika kabisa Tanzania uislamu umetuletea matatizo sana.
 

una hoja
 
Tunaanza Kufanya JF kama mjengoni naomba tusije anza tukanana.
 







Usijali tutampa cheo tu kwani serikali ijayo ya cdm ni ya kidini an yeye ni padri kwa nn tumnyime uwaziri, atapata mkuu.

Serekali ya kidini? Una akili sawasawa wewe? Hujui kuwa nchi hii haina dini ila ccm inapandikiza udini na kuwabeba waislam? Siasa zako na mawazo yako yapotelee mbali na serekali ijayo.
Nawaomba wacdm wenzangu tuache kufikiria kuchukuwa nchi kwa sasa badala yake tuendeleze m4c kwa bidii ili ienee nchi mzima kabla ya 2015. Hivyo kuwa rahisi kuchukuwa nchi hii, tukumbuke bado sisi ni chama cha upinzani na ni lazima tuonyeshe kwa maneni na matendo kuwa tunastahili kuaminiwa na kupewa dola.
 

Maneno yako, yanaonyesha fikira zako. Wewe ni ccm na bila shaka ni mmoja wanaolipwa bk7 pale Lumumba kwa kupost hapa JF. Endelea kushabikia unayoshabikia, siku utakapogundua kuwa hujaitendea haki nchi hii kwa kutetea sumu ya nchi yetu; utajuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…