Aliyekuwa makamu mkuu wa chuo cha saut padri Kitima,hii leo anaagwa rasmi kwa misa takatifu,na kumkaribisha mrithi wake padri Mgeni,ambae atazika kabisa mambo ya siasa na itikadi katika chuo hicho.
Wakati wa utumishi wake Kitima amekuwa akiikosoa serikali katika udhaifu wake hasa katika kutatua matatizo ya Watanzania wengi.
Kitima pia atakumbukwa kwa mahubiri yake ambayo kila mara yaliikosoa serikali,na jambo hili liliwafanya vijana wengi chuoni hapa hasa wale mashabiki wa CHADEMA kumshangilia kila mara alipoikosoa serikali.
Je!kuondoka kwake ndio mwisho wa CDM chuoni hapo?na je mrithi wake nae atakuwa ktk mlengo huohuo wa kichadema?hatujui,ila muda utasema.
...Siku hizi kila anayeongea ukweli ni CHADEMA. Nembo ya CHADEMA imekuwa ukweli na uzalendo.
Aliyekuwa makamu mkuu wa chuo cha saut padri Kitima,hii leo anaagwa rasmi kwa misa takatifu,na kumkaribisha mrithi wake padri Mgeni,ambae atazika kabisa mambo ya siasa na itikadi katika chuo hicho.
Wakati wa utumishi wake Kitima amekuwa akiikosoa serikali katika udhaifu wake hasa katika kutatua matatizo ya Watanzania wengi.
Kitima pia atakumbukwa kwa mahubiri yake ambayo kila mara yaliikosoa serikali,na jambo hili liliwafanya vijana wengi chuoni hapa hasa wale mashabiki wa CHADEMA kumshangilia kila mara alipoikosoa serikali.
Je!kuondoka kwake ndio mwisho wa CDM chuoni hapo?na je mrithi wake nae atakuwa ktk mlengo huohuo wa kichadema?hatujui,ila muda utasema.
Sentesi yako ya kwanza na ya mwisho inaonyesha jinsi uwezo wako wa kufikiri ulivyo. Inawezekana umekosa sanaa ya kupanga hoja, umeshasema juu ya kuzika siasa chuoni hapo na Mkuu mpya, mwoisho unauliza swali na kutusubirisha, kwani aliyekuambia hiyo kauli ya mwanzo humuamini? Siasa na maisha kwasasa huwezi kuzitenganisha labda ni ushabiki tu utatofautiana, kumbuka siasa zinamgusa kila mtu la maana ni kuangalia tunaendeshaje hizo siasa.
Aliyekuwa makamu mkuu wa chuo cha saut padri Kitima,hii leo anaagwa rasmi kwa misa takatifu,na kumkaribisha mrithi wake padri Mgeni,ambae atazika kabisa mambo ya siasa na itikadi katika chuo hicho.
Wakati wa utumishi wake Kitima amekuwa akiikosoa serikali katika udhaifu wake hasa katika kutatua matatizo ya Watanzania wengi.
Kitima pia atakumbukwa kwa mahubiri yake ambayo kila mara yaliikosoa serikali,na jambo hili liliwafanya vijana wengi chuoni hapa hasa wale mashabiki wa CHADEMA kumshangilia kila mara alipoikosoa serikali.
Je!kuondoka kwake ndio mwisho wa CDM chuoni hapo?na je mrithi wake nae atakuwa ktk mlengo huohuo wa kichadema?hatujui,ila muda utasema.
Aliyekuwa makamu mkuu wa chuo cha saut padri Kitima,hii leo anaagwa rasmi kwa misa takatifu,na kumkaribisha mrithi wake padri Mgeni,ambae atazika kabisa mambo ya siasa na itikadi katika chuo hicho.
Wakati wa utumishi wake Kitima amekuwa akiikosoa serikali katika udhaifu wake hasa katika kutatua matatizo ya Watanzania wengi.
Kitima pia atakumbukwa kwa mahubiri yake ambayo kila mara yaliikosoa serikali,na jambo hili liliwafanya vijana wengi chuoni hapa hasa wale mashabiki wa CHADEMA kumshangilia kila mara alipoikosoa serikali.
Je!kuondoka kwake ndio mwisho wa CDM chuoni hapo?na je mrithi wake nae atakuwa ktk mlengo huohuo wa kichadema?hatujui,ila muda utasema.
Katika uundaji wa serikali ijayo ambayo itakuwa chini Chadema inapaswa kumfikiria huyu mtu katika nafasi za kiutendaji maana ni mkereketwa wa maendeleo na muadilifu
...siku hizi kila anayeongea ukweli ni chadema. Nembo ya chadema imekuwa ukweli na uzalendo.
ina maana nccr hawaikosoi serikali?