PreGE2025 Kada wa CHADEMA, Julius Mwita baada ya kung'olewa, adai Chama kinaendeshwa na Maria Sarungi kutoka Nairobi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Dada Maria ni mwanademokrasia na mpigania HAKI za Binadamu.
Mungu amlinde ili itakapopatikana Serikali inayojali HAKI arejee Nchini na tutampa makaribisho makubwa sana ya Kishujaa.

Maua yako Dada Maria πŸ«‘πŸ‘‰πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸŒΈπŸŒΈπŸŒΌπŸŒΈπŸŒΈπŸŒ»πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸŒΉπŸ΅πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’
 
Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. Julius Mwita amemtaka Mwanaharakati Maria Sarungi kujitokeza hadharani na kueleza ikiwa ni mwanachama wa Chadema kwa kuonesha kadi yake ya uanachama wake ndani ya Chadema.

Mwita ambaye amezungumza na wanahabari Jijini Dar Es salaam leo Aprili 03, 2025, siku moja mara baada ya kuvuliwa nafasi yake ndani ya Chadema, amefikia hatua hiyo mara baada ya kuhoji uhalali wa Maria Sarungi kuhoji maamuzi ya Chama, akimtaja kuwa kama Mwenye Chama kwa namna ambavyo amekuwa akijihusisha moja kwa moja na maamuzi ya vikao halali vya Chadema.

"Kuna mtu anaitwa Maria Sarungi, kikao kimeitishwa na Katibu Mkuu, mimi sijui hata kama Maria ni mwanachama wa Chadema, mimi ni mwanachama na kadi yangu ni platnums, yeye aje atuambie kadi yake ni namba ngapi. Maria anapost Twitter anahoji kikao cha watia nia kimeitishwa na nani kwasababu viongozi wote wakuu wapo field, serious? Who is she?mtu anaishi Nairobi, anaogopa hata kuja kumzika baba yake leo anahoji mambo ya chama?" Amesema Mwita

Pia, Soma: CHADEMA yamng'oa Katibu wa Sekretarieti wa chama, Julius Mwita baada ya kuibuka mzozano kwenye kundi sogozi

Katika Hatua nyingine, Mwita kutokana na Mawasiliano yao yaliyovuja yakitokea kwenye kundi sogozi la WhatsApp, alionekana akiandika mara kadhaa "huyo Boss wao" ambapo amekiri kuwa aliyekuwa akimzungumzia kama "Boss wao" sio Mwenyekiti wa Chama Mhe. Tundu Lissu bali ni Maria Sarungi ambaye amemtaja kama Mtu mwenye rimoti ya kuendesha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Huyu afukuzwe tu, hivi kupinga maamuzi ya juu ya chama ni nn Hilo?
 
WAJINGA NDIO WALIWAO..KEKUNDU KEKUNDUU... KEKUNDUU..
 
Kwa IQ hii, nadhani wakuvue hata uanachama maana wewe sio mzigo bali zigo zito, wakufunge jiwe to the next level
 
Cha
Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. Julius Mwita amemtaka Mwanaharakati Maria Sarungi kujitokeza hadharani na kueleza ikiwa ni mwanachama wa Chadema kwa kuonesha kadi yake ya uanachama wake ndani ya Chadema.

Mwita ambaye amezungumza na wanahabari Jijini Dar Es salaam leo Aprili 03, 2025, siku moja mara baada ya kuvuliwa nafasi yake ndani ya Chadema, amefikia hatua hiyo mara baada ya kuhoji uhalali wa Maria Sarungi kuhoji maamuzi ya Chama, akimtaja kuwa kama Mwenye Chama kwa namna ambavyo amekuwa akijihusisha moja kwa moja na maamuzi ya vikao halali vya Chadema.

"Kuna mtu anaitwa Maria Sarungi, kikao kimeitishwa na Katibu Mkuu, mimi sijui hata kama Maria ni mwanachama wa Chadema, mimi ni mwanachama na kadi yangu ni platnums, yeye aje atuambie kadi yake ni namba ngapi. Maria anapost Twitter anahoji kikao cha watia nia kimeitishwa na nani kwasababu viongozi wote wakuu wapo field, serious? Who is she?mtu anaishi Nairobi, anaogopa hata kuja kumzika baba yake leo anahoji mambo ya chama?" Amesema Mwita

Pia, Soma: CHADEMA yamng'oa Katibu wa Sekretarieti wa chama, Julius Mwita baada ya kuibuka mzozano kwenye kundi sogozi

Katika Hatua nyingine, Mwita kutokana na Mawasiliano yao yaliyovuja yakitokea kwenye kundi sogozi la WhatsApp, alionekana akiandika mara kadhaa "huyo Boss wao" ambapo amekiri kuwa aliyekuwa akimzungumzia kama "Boss wao" sio Mwenyekiti wa Chama Mhe. Tundu Lissu bali ni Maria Sarungi ambaye amemtaja kama Mtu mwenye rimoti ya kuendesha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Chadema ni ya wananchi wote, bila kujali kaliba ya mtu, hakuna hoja
 
lisu amewasilisha barua ya kugombea urais kupitia chadema octoba 2025,

nyumbu wachache pekee ndio hawatashiriki uchaguzi huo kutoka chadema :pedroP:
Nyumbu ni nyie mnaoshangilia kila aina ya ujinga unaofanywa na ccm.
Mtu akitekwa mnashangilia kama mashetani
 
Malaya wa mtandaoni toka Nairobi ndo anaiendesha CDM sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna kipindi nilishawishika kuwa wewe ni mtu smart sana
 
Kwangu hii haijakaa sawa, hiyo hoja ilitolewa kwenye vikao vya juu vya chama, inakuwaje sasa inaanza kuhojiwa huku chini? Mambo haya utayakuta tu upinzani, ccm unafukuzwa mara moja asubuhi tu
Afukuziliwe mbali.
 
NDOTO ZA SAA NNE ASUBUHI NDIO MADHARA YAKE HAYA
 
Kwangu hii haijakaa sawa, hiyo hoja ilitolewa kwenye vikao vya juu vya chama, inakuwaje sasa inaanza kuhojiwa huku chini? Mambo haya utayakuta tu upinzani, ccm unafukuzwa mara moja asubuhi tu
Ni watu kujirusha tu ufahamu Oparesheni imeshaenda kwa Wananchi ni imekubaliwa kwa asilimia 100 halafu hawa wanataka kuleta fitina.
 
Sikubaliani na mawazo ya Lissu lakini kwa hili , nakataa Lissu sio mtu wa kuendeshwa na Maria Sarungi.
 
Back
Top Bottom