PreGE2025 Kada wa CHADEMA, Julius Mwita baada ya kung'olewa, adai Chama kinaendeshwa na Maria Sarungi kutoka Nairobi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. Julius Mwita amemtaka Mwanaharakati Maria Sarungi kujitokeza hadharani na kueleza ikiwa ni mwanachama wa Chadema kwa kuonesha kadi yake ya uanachama wake ndani ya Chadema.

Screenshot 2025-04-03 143617.png
Mwita ambaye amezungumza na wanahabari Jijini Dar Es salaam leo Aprili 03, 2025, siku moja mara baada ya kuvuliwa nafasi yake ndani ya Chadema, amefikia hatua hiyo mara baada ya kuhoji uhalali wa Maria Sarungi kuhoji maamuzi ya Chama, akimtaja kuwa kama Mwenye Chama kwa namna ambavyo amekuwa akijihusisha moja kwa moja na maamuzi ya vikao halali vya Chadema.

"Kuna mtu anaitwa Maria Sarungi, kikao kimeitishwa na Katibu Mkuu, mimi sijui hata kama Maria ni mwanachama wa Chadema, mimi ni mwanachama na kadi yangu ni platnums, yeye aje atuambie kadi yake ni namba ngapi. Maria anapost Twitter anahoji kikao cha watia nia kimeitishwa na nani kwasababu viongozi wote wakuu wapo field, serious? Who is she?mtu anaishi Nairobi, anaogopa hata kuja kumzika baba yake leo anahoji mambo ya chama?" Amesema Mwita

Pia, Soma: CHADEMA yamng'oa Katibu wa Sekretarieti wa chama, Julius Mwita baada ya kuibuka mzozano kwenye kundi sogozi

Katika Hatua nyingine, Mwita kutokana na Mawasiliano yao yaliyovuja yakitokea kwenye kundi sogozi la WhatsApp, alionekana akiandika mara kadhaa "huyo Boss wao" ambapo amekiri kuwa aliyekuwa akimzungumzia kama "Boss wao" sio Mwenyekiti wa Chama Mhe. Tundu Lissu bali ni Maria Sarungi ambaye amemtaja kama Mtu mwenye rimoti ya kuendesha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

ni kweli kabisa kuhusu hilo gentleman :pedroP:
 
mapandikizi ya CCM yanazidi kuumbuliwa CDM
lisu amewasilisha barua ya kugombea urais kupitia chadema octoba 2025,

nyumbu wachache pekee ndio hawatashiriki uchaguzi huo kutoka chadema :pedroP:
 
mapandikizi ya CCM yanazidi kuumbuliwa CDM
Maua yako Mkuu👇
💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻🌻💐💐💐🌻🌻🌻💐💐🪷💐🌸🌸🌺🌺🌻🌼🌷🌻🌺🌺🌺🌺🌺🌺💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌹🌹🏵🪷🪷💐🪷🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸💐💐💐💐💐💐🌻🌻🌻🌻💐💐💐💐💐🌻🌻🌻🌻🌻🌻💐🌸🌸💐🌸💐🪻🪻🪻🪻🪻🪻
 
Mbona alivyo kua ndani hakusema ayo maneno? Kula chuma.sengerema ww
KAZI ni kipimo cha utu
 
Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. Julius Mwita amemtaka Mwanaharakati Maria Sarungi kujitokeza hadharani na kueleza ikiwa ni mwanachama wa Chadema kwa kuonesha kadi yake ya uanachama wake ndani ya Chadema.

Mwita ambaye amezungumza na wanahabari Jijini Dar Es salaam leo Aprili 03, 2025, siku moja mara baada ya kuvuliwa nafasi yake ndani ya Chadema, amefikia hatua hiyo mara baada ya kuhoji uhalali wa Maria Sarungi kuhoji maamuzi ya Chama, akimtaja kuwa kama Mwenye Chama kwa namna ambavyo amekuwa akijihusisha moja kwa moja na maamuzi ya vikao halali vya Chadema.

"Kuna mtu anaitwa Maria Sarungi, kikao kimeitishwa na Katibu Mkuu, mimi sijui hata kama Maria ni mwanachama wa Chadema, mimi ni mwanachama na kadi yangu ni platnums, yeye aje atuambie kadi yake ni namba ngapi. Maria anapost Twitter anahoji kikao cha watia nia kimeitishwa na nani kwasababu viongozi wote wakuu wapo field, serious? Who is she?mtu anaishi Nairobi, anaogopa hata kuja kumzika baba yake leo anahoji mambo ya chama?" Amesema Mwita

Pia, Soma: CHADEMA yamng'oa Katibu wa Sekretarieti wa chama, Julius Mwita baada ya kuibuka mzozano kwenye kundi sogozi

Katika Hatua nyingine, Mwita kutokana na Mawasiliano yao yaliyovuja yakitokea kwenye kundi sogozi la WhatsApp, alionekana akiandika mara kadhaa "huyo Boss wao" ambapo amekiri kuwa aliyekuwa akimzungumzia kama "Boss wao" sio Mwenyekiti wa Chama Mhe. Tundu Lissu bali ni Maria Sarungi ambaye amemtaja kama Mtu mwenye rimoti ya kuendesha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Kadi ya platnum ya nyoko,nenda kwa vilaza wenzio ccm huku hatutaki chawa.
 
Anatakata kugombea ubunge kwa mazingira haya kweli? Kuna mtu mwenye akili timamu upinzani anawanza kweli kugombea ubunge?
 
Yaani yule dada malaya aliyehamisha makao yake nje ya nchi ili atukane viongozi wakuu wa nchi ndiye anampeleka puta Tundu Lissu?

Kweli mkataa pazuri pabaya panamngojea. Hapa CHADEMA kwa kumkabidhi Lissu chama mumeingia choo cha mashoga.
 
Back
Top Bottom