Kada wa CHADEMA Iringa aumizwa kwa kipigo

Kada wa CHADEMA Iringa aumizwa kwa kipigo

Kama unafikiri kwa uhuru utaliona hili...lakini kama unafikiri kwa utumwa kamwe hutaliona hili kwa uhalisia wake...

Hata unapoenda kufanya uchunguzi huwa kunakuwa na Hypotheses....na lazima kuna kuwa na hypothesis moja ambayo hutumika kufanyia uchunguzi na kutoa majibu ya hypotheses nyingine....
Lakini kama umetanguliza kukwepa hypothesis kuu..utakimbilia assumptions ili kudivert attention na kupoteza kabisa uchunguzi makini.....
 
Probabilities za nini? Polisi wangeweza kutoa taarifa inayoaminika kama wasingekuwa one sided. Ninimashaka nao hasa kumlinda kwao na kutoruhusu maajiano yoyote naye. Tunaomba madaktari watimize wajibu wao.

Naomba Mungu amponye haraka aweze kuendelea na majukumu yake ya kujenga chama.

Wewe mkuu sio tu Great bali ni Critical Thinker.....
 
Tayari tushaingia vitani na sasa tupo katikati tunaelekea kuishinda hii vita ..makamanda popote mlipo don't give up!

we taahira soma hii comment kutoka kwa great thinker

Mkuu siyo kila jambo linalompata mwanasiasa liwe na uhusiano na siasa....kuna sehemu nyingine za maisha nyingi tu zinazoweza kusababisha haya mambo....mambo ya unyumba....biashara...nk. Siasa siyo kila kitu kwenye maisha....
 
Ata wawauwe watu wote wa Chadema , lakini Chadema itabaki kwenye mioyo ya watu
 
Back
Top Bottom