PreGE2025 Kada wa CHADEMA Hilda Newton: Polisi wamezuia mkutano wetu Kariakoo, wamesema ni maelekezo kutoka juu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,690
Wakuu,

Kupitia ukurasa wake wa X, kada wa CHADEMA, Hilda Newton amesema kuwa Jeshi La Polisi wamezuia mkutano wa CHADEMA uliopangwa kufanyika kwenye soko la Kariakoo.

Kwa mujibu wa Hilda, sababu iliyotajwa ni kwamba kuna maelekezo kutoka juu ya kuzuia mkutano na ameongeza kuwa msimamo wa chama ni kwamba mkutano huo utafnyika.

photo_2025-04-22_14-10-05.jpg
 
Samia ni muoga kuliko kunguru
 
Hakuna kibali kilichotolewa, ngombe wewe
Na bado subirini sindano ziwaingie vizr ,badoo mtanyooka tuu mwaka huu ,kama mnajiamini muachieni TAL awashikishe adabuu
midomo tu na polisi nyoko akili za makalio
 
lissu muhalifu anataka kukinukisha
 
Back
Top Bottom