Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,498
Msikilize kada wa CCM, Dkt. Albanie Marcossy akieleza kwanini CHADEMA hawakushiriki uchaguzi Mkuu 2025 eti anadai "Udhaifu uliokuwa ndani ya CHADEMA ndiyo umefanya wasishiriki uchaguzi"
Soma: Dkt. Albanie: Polepole anataka kuharibu Uchaguzi, apuuzwe
Kweli CDM nidhaifu mbele ya CCM hii? ambayo inaogopa reforms ili kipute kipigwe bila makando kando. Watu kama hawa wanatakiwa wavuliwe na huo u-Dkt.