Anasema wakishapitia kwenye mchujo kisha hupendekezwa majina manne kisha kupeleka kwa Rais ili akateue jina moja ,sindiyo?
Swali, Huyo Rais sindiye nane atakaekua kuwa mgombea ? Na huyo Mwenyekiti au wajunbe wa tume sindiyo hao watakaokuja kuwa na mamlaka ya kumtangaza mshindi ambaye kwa mamlaka yao kikatiba wakishamtangaza mshindi hapaswi kupingwa popote .
Tuje nyuma kidogo , inamaana Dokta ameshindwa kabisa kuona kuwa kitendo cha Rais kuwa na mamlaka ya kufanya uteuzi wa mtu / watu watakaobeba hatima yake nikitendo chenye mgongano wakimaslahi?
Hivi nikweli watu wanakubali kuzibaka taaluma zao kwasababu ya mkate ,
Guys seriously? 🤣🤣