Kada wa CCM atoa mazito: Shilawadu watanzania wamebadilika, CHADEMA mlituzidi ujanja

TangataUnyakeWasu

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
1,268
1,587
Na Thadei Ole Mushi.

1. Chadema kwa hili mna akili sana na mmetuzidi ujanja lazma tukubali, nilikuwa napinga sana Lisu asiwe Raisi wa TLS kumbe mlikuwa na plan B ambayo tulikuwa hatuifahamu..

Kumbe mgombea makamu mwenyekiti wa TLS naye ni chadema Damu. Huyu ni yule mwanasheria aliyefichua madudu ya Escrow na mwaka 2015 alijitosa kupambana na Chenge kule Bariadi kugombea jimbo hilo kupitia CHADEMA.

Kina Kibatala walimpigia kampeni ya kutisha kuwa makamu wa TLS na kashinda kweli hiyo picha nyingine ni Lowassa akiwa anamnadi kule Bariadi Simiyu kwenye uchaguzi mkuu. ....

[HASHTAG]#Swali[/HASHTAG] la kujiuliza kwa nn Sample hii ya wasomi wameamua kufanya maamuzi haya? Tukumbuke TLS mawakili wake wengi karibu asilimia 40 ni mawakili wa Serikali inakuwaje Lisu anashinda kwa asilimia nyingi hivyo??

Kuliko kuendelea kulalamika serikali na CCM iangalie tatizo lipo wapi hapa.

Ukisoma kitabu maarufu cha Crane Brinton "Anatomy Of rvolution" zinatajwa stages kuu ambazo serikali zote kubwa ambazo zimewahi kuanguka duniani zilipitia.

Stage mojawapo kubwa ni kupata challenge toka kwenye tabaka la wasomi.... Ukiona tabaka hili limeanza kuhoji jitazame upya tatizoblipo wapi. Hawa TLS ni mojawapo ya Sample ya wasomi wanamchagua mtu kwa asilimia zaidi ya 80 huku ni kuchallenge kwa vitendo..... tunaweza kuparekebisha na kusonga mbele kuliko kuendelea kupinga ushindi huu huu ni ujumbe tosha ..... Mengine nitayasema baadaye.

2. Issue ya pili ni hii video ya Gwajima..... hivi kweli kwa akili za kijinga kabisa unaweza kuamini propaganda hii??

Wenzetu Ulaya kilichowafanya kuendelea na kufikia hapo walipo walikubali kufikiri na kuhoji. Karne ya 18 bara la Ulaya liliingia kwenye Enlightenment period (Era of reasoning). Hiki ndicho kilichowasaidia kuwatoa ujinga na kupiga hatua kimaendeleo.

Tuhuma za ukweli au za Uwongo haziwezi kuondolewa na kipindi cha Shilawadu. Huku ni kuendelea kuinajisi Serikali. Na kama kila mtu atahoji bila kutetea huu ujinga tunaweza kuisaidia sana Serikali yetu.

Tuhuma haziwezi kuondolewa na kashfa .... ifike mahali hili jambo lifike mwisho. Shikawadu mbona vipindi vyenu vyote huwa mnahoji pande zote mbili hili la Gwajima mbona limeegemea upande mmoja?

Ni Lini Clouds FM wataacha kumpotosha mkuu wetu wa mkoa? Huu ugomvi mliouanzisha umeliibua sakata hili upya wakati lilikuwa limeshaanza kufifia. ....

Kama wewe ni kijana Msomi ni aibu kusambaza propaganda hii ya Gwajima .... jioe walau muda kidogo wa kuhoji

Jumapili njema

Ole Mushi.
 
mkuu hujaona bandiko humu,huyo muhuni wa koromije alivamia ofisi za clouds na kundi la wahuni wenzie wenye silaha wakapiga mapresenta wa hicho kipindi na kulazimishwa ichezwe kwa nguvu!
Hivi kuna watu mnaamini hilo bandiko????? Sio mpango tu wa kudai alivamia ili kukwepa kuwa sued?????
Kwa uswahiba wa clouds na bashite kweli avamie????
 
Umenena mkuu ndani mstari, clouds inaelekea kufa kama TBC
 
Umenena mkuu,siku zote maumivu ya kichwa huanza polepole na kadiri muda unavyoenda kama hujapata tiba sahihi basi maumivu huongezeka.Uchaguzi huu wa TLS na matakeo yaliyopatikana ni ishara kubwa wapi tunakoelekea.Hakuna kitu bora kwa mwanaadam mwenyeakili timamu pale anapoona amejikwaa basi ainuke,ajiangalie na jitathimini ni kitu gani kilichomfanya ajikwae.Vinginevyo...
 
A single touch double manifestation karibuni kwenye ibada badae, tangu lini akili kubwa ikashindana na akili ndogo,

Bashite ni ziro mipango yake ni ziro hajui reasoning, haya hao SHILAWADU wana deal na ziro brain wenzao wasanii ambao asilimia 90 ni bashite brain sasa bila kujua issue ya bashite haipo chini ya ziro brain wamejingiza kichwa kichwa wacha tuendelee
 
mkuu hujaona bandiko humu,huyo muhuni wa koromije alivamia ofisi za clouds na kundi la wahuni wenzie wenye silaha wakapiga mapresenta wa hicho kipindi na kulazimishwa ichezwe kwa nguvu!
Nahisi Clouds wanafanya propaganda (defence machenism) bada ya kuona walichokifanya kimewatia aibu kubwa na kitashusha credibility yao kama chombo cha habari!
 
A single touch double manifestation karibuni kwenye ibada badae, tangu lini akili kubwa ikashindana na akili ndogo,

Bashite ni ziro mipango yake ni ziro hajui reasoning, haya hao SHILAWADU wana deal na ziro brain wenzao wasanii ambao asilimia 90 ni bashite brain sasa bila kujua issue ya bashite haipo chini ya ziro brain wamejingiza kichwa kichwa wacha tuendelee
1489897818504.png
 
Kiongozi ni MTU bora kati au miongoni mwa watu bora alive chaguliwa kuwaongoza watu,by Polepole 2017, "Sasa Tanzania INA wasomi wazuri tyu,haiwezekani ukamchukua kiatu ukavaa matakoni wakati miguu unayo.!ndio maana tunashangaana,wasomi mtuongoze.!Mfano MTU wa certificate hawezi muongoza MTU mwenye dip au degree au ----,zaidi akiwa kutakuwa vurugu
 
Back
Top Bottom