Kada wa CCM Arusha, Jumanne Mjusi asomewa mashtaka manne ya uhujumu uchumi

Wafunge mara moja hiyo mutu ni hatari zaidi ya Ebola.
Na ikiwezekana apewe adhabu ya kuliwa jicho X 6 kwa siku.
Analeta ukora!!
 
MWIGULU KAMUOKOE RAFIKI YAKO ULIMTUMIA SANA YEYE NA IDD MKULU KUTESA NA KUUA WANA CHADEMA ARUSHA. RIP YULE JAMAA ALIYECHINJWA USA RIVER,HUYU MJUSI NA IDD MKULU WAMEFANYA HADI MAUAJI IN THE NAME OF CCM HUKO ARUSHA
 
wa Msuya, kukaa na mali za mtu bila idhini yake ni uhujumu uchumi hiyo pesa aliyoiba mwenyewe angeifanyia biashara na kulipa kodi.
Watani zao wachaga buana. Uchumi wake umehujumiwa kivipi?
 
Huyo mjusi amekuwa akitumika sana na ccm kuumiza wapinzani akishirikiana na kundi la akina Iddy Mkulu. Nashangaa imekuwaje safari hii wamemkamata? Ila usishangae akaachiwa baada ya muda mfupi, hasa karibu na uchaguzi kwa kazi ya kwenda kuumiza wapinzani. The guy is so stupid.
Bora wamweke hukohuko tu....safari hii wakimwachia tutammaliza sisi wenyewe na hilo analijua.
 
Back
Top Bottom