Kada wa CCM Anauliza; CCM Inapenda Wasio Uwezo au Wasio Uwezo Ndio Wanaipenda CCM?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,798
71,218
Kumekucha ndani ya CCM baada ya uteuzi wa Mtatiro. CCM asili wacharuka na kuhoji iweje tunsowaita Nyumbu ndio wanaonekana bora serikalini?
Msome kada huyo.

NI VITA KATI YA WANACCM ASILIA NA WAHAMIAJI?

Na Thadei Ole Mushi.

Wakati Mwita Waitara ailipohamia CCM na Kuukwaa uwaziri akiwaacha vijana wengi pale Lumumba na maeneo mengine wa CCM wanaokesha usiku na mchana kuimba Litania za Masifu na Mapambio niliandika naomba kunukuu

"Karibu Mwita Waitara CCM, Karibu kwenye chama kinachoongoza nchi. Wakati tukilala nje 2015 tukitafuta kura za rais wetu John Pombe Magufuli wewe ulikuwa ukilala nje kuzipunguza..

Hii ndio aina mpya ya siasa zetu, zimebadilika na lazma tukubali kubadilika nazo. Ni siasa nazoweza kuzifananisha na mtu aliyewanyima watoto wake wa kuwazaa chakula na kuamua kuwalea watoto wa jirani.

Wenzetu wamelisoma gape kuwa upande wetu tumekusanyika wale wenye uwezo mdogo kiuongozi. Ni sawa na mtoto anayesoma seminari kuhamia Shule ya Kata lazma awaongoze.

Mpaka kufikia 2019-2020 ngome ya CCM asilia itakuwa imeshatekwa yote na tutakuwa mateka haswa.

Hongereni wapinzani kwa kuivisha viongozi wa taifa hili. Nimeamini ninyi ni tanuru la uongozi nchini.... sisi CCM lazma tujitathimini sana. Tufanye pia na utafiti kuangalia wanachama wa ANC na ZPF kama aina hii ya siasa inaweza kufanyika. Yaani wanachama wao wapoje...

#Unapata wapi Ujasiri wa kuwaita Nyumbu wakati wana uwezo kuliko wewe?
Karibuni sana CCM"

Mwisho wa kunukuu, usimkumbuke Patrobas, wala kina Shonza, usimkumbuke Kafulila wala machali, usimkumbuke Msando aliyepewa kazi ya kuhakiki mali za CCM wala Mwita waitara twende na Mtatiro aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa Sera za CCM na Rais wetu. Huyu naye anatokea Timu iliyopunguza kura za JPM hadi tukaamua kupiga Pushup ili zitoshe. Hasa ndio waliohakisha kwa Mara ya kwanza CCM inaingia madarakani kwa ushindi cini ya asilimia 60.

Ni Julias Mtatiro aliyeitwa nyumbu na vijana wa Lumumba anaukwaa u DC pale mkoani Ruvuma...... Narudia msiwaite wenzenu nyumbu hata kidogo...... Mtag mwanaccm yeyote muimba pambio na litania za masifu. Watapishana na Mtatiro kwa adabu sasa hivi maana anaweza msweka ndani 24 hours.

Kila wazee wa vetting wakichakura kwenye hill jalala la Lumumba wanakutana na wasiokidhi vigezo. Sijui kwa nn CCM inapendwa na wasiokuwa na uwezo huku upinzani ukiwa na vijana very Smart. Hapa ndipo huwa sielewi kuwa CCM inapenda wasiokuwa na uwezo au wasiokuwa na uwezo ndio huipenda CCM.

OLE Mushi
0712702602
 
Unakumbuka mliutweza utafiti wa Twaweza mpaka mkamnyang'anya mkurugenzi wake pass port yake?
IMG-20180405-WA0006.jpeg
 
sasa wanaccm wakipewa vyeo nani atafanya kazi ya wasiojulikana?
 
Ole mushi anapiga kelele kwa kuwa tu hajapata ugali, siku wakimpa ugali atakuja kuyakanusha haya machapisho yake.
Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli. Ccm kwa sasa hali sio shwari Ila sana tabia ya kufa na tai shingoni.
 
Tokeni huko kajiungeni upinzani kisha mrudi huko, mbona rahisi tu
 
Kama yule mwenyekiti wa uvccm ana akili gani za kuweza kuteuliwa kuwa kiongozi , kwanza hana busara hajui aongee lipi kwa hadhira ila watu kama hawa wanabebwa mpaka hapo walipo sababu ya undugu
 
Kumekucha ndani ya CCM baada ya uteuzi wa Mtatiro. CCM asili wacharuka na kuhoji iweje tunsowaita Nyumbu ndio wanaonekana bora serikalini?
Msome kada huyo.

NI VITA KATI YA WANACCM ASILIA NA WAHAMIAJI?

Na Thadei Ole Mushi.

Wakati Mwita Waitara ailipohamia CCM na Kuukwaa uwaziri akiwaacha vijana wengi pale Lumumba na maeneo mengine wa CCM wanaokesha usiku na mchana kuimba Litania za Masifu na Mapambio niliandika naomba kunukuu

"Karibu Mwita Waitara CCM, Karibu kwenye chama kinachoongoza nchi. Wakati tukilala nje 2015 tukitafuta kura za rais wetu John Pombe Magufuli wewe ulikuwa ukilala nje kuzipunguza..

Hii ndio aina mpya ya siasa zetu, zimebadilika na lazma tukubali kubadilika nazo. Ni siasa nazoweza kuzifananisha na mtu aliyewanyima watoto wake wa kuwazaa chakula na kuamua kuwalea watoto wa jirani.

Wenzetu wamelisoma gape kuwa upande wetu tumekusanyika wale wenye uwezo mdogo kiuongozi. Ni sawa na mtoto anayesoma seminari kuhamia Shule ya Kata lazma awaongoze.

Mpaka kufikia 2019-2020 ngome ya CCM asilia itakuwa imeshatekwa yote na tutakuwa mateka haswa.

Hongereni wapinzani kwa kuivisha viongozi wa taifa hili. Nimeamini ninyi ni tanuru la uongozi nchini.... sisi CCM lazma tujitathimini sana. Tufanye pia na utafiti kuangalia wanachama wa ANC na ZPF kama aina hii ya siasa inaweza kufanyika. Yaani wanachama wao wapoje...

#Unapata wapi Ujasiri wa kuwaita Nyumbu wakati wana uwezo kuliko wewe?
Karibuni sana CCM"

Mwisho wa kunukuu, usimkumbuke Patrobas, wala kina Shonza, usimkumbuke Kafulila wala machali, usimkumbuke Msando aliyepewa kazi ya kuhakiki mali za CCM wala Mwita waitara twende na Mtatiro aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa Sera za CCM na Rais wetu. Huyu naye anatokea Timu iliyopunguza kura za JPM hadi tukaamua kupiga Pushup ili zitoshe. Hasa ndio waliohakisha kwa Mara ya kwanza CCM inaingia madarakani kwa ushindi cini ya asilimia 60.

Ni Julias Mtatiro aliyeitwa nyumbu na vijana wa Lumumba anaukwaa u DC pale mkoani Ruvuma...... Narudia msiwaite wenzenu nyumbu hata kidogo...... Mtag mwanaccm yeyote muimba pambio na litania za masifu. Watapishana na Mtatiro kwa adabu sasa hivi maana anaweza msweka ndani 24 hours.

Kila wazee wa vetting wakichakura kwenye hill jalala la Lumumba wanakutana na wasiokidhi vigezo. Sijui kwa nn CCM inapendwa na wasiokuwa na uwezo huku upinzani ukiwa na vijana very Smart. Hapa ndipo huwa sielewi kuwa CCM inapenda wasiokuwa na uwezo au wasiokuwa na uwezo ndio huipenda CCM.

OLE Mushi
0712702602

Tuvumilie tu, mengi yataibuka na yatawashangaza wengi.
Yaliyofanyikia gizania yatafichuka muda si mrefu
 
Sisi wenyewe asilia..wakati wetu ukifika tutapata teuzi mbonaa..nafasi zipo nyingii tuu..😊😊😊
 
Tanzania hakuna chama cha siasa.

Kuna magenge ya kusaka tonge na harakati.

Ndiyo maana msomi wa mambo ya itikadi aliyeijua vizuri CCM, marehemu Horace Kolimba, alisema CCM, chama kikongwe kabisa Tanzania, haina dira wala muelekeo.

Ukielewa hilo, mengine hayatakushangaza.
 
vyeo vya kisiasa ni hisani zisizotarajiwa. mtoa mada anaandika kama mtu mwenye masikitiko makubwa ya kukosa cheo na anaandika kama vile CCM imeahidi kutoa vyeo kwa wanachama wake.

CCM haina ahadi ya kutoa vyeo au ahadi yeyote kwa wanachama wake ila wanachama wa CCM ndio wanaiahidi CCM na ndio maana kuna ahadi 9 za wanachama wa CCM na si ahadi 9 kwa wanachama wa CCM.

Katka kuijenga Tanzania mtu yeyote mwenye uwezo wa kuteuliwa au kuchaguliwa katika nafasi yake anachaguliwa au kuteuliwa bila kujali dini, rangi, kabila na vyama.

mara nyingi Rais Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM amekuwa akisema maendeleo hayana chama, tufanye kazi kwa bidii. tumpongeze kwa kuweza kuishi kauli hiyo kwa vitendo badala ya kulalamika vyeo vya kisiasa ambavyo ni hisani zisizotarajiwa.
 
Nakumbuka Mkuu alipofanya ziara Zanzibar aliapa kutoteua wapinzani wake wa kisiasa katika serikali yake! Lakini sasa naona amebadili gia angani!
 
vyeo vya kisiasa ni hisani zisizotarajiwa. mtoa mada anaandika kama mtu mwenye masikitiko makubwa ya kukosa cheo na anaandika kama vile CCM imeahidi kutoa vyeo kwa wanachama wake.

CCM haina ahadi ya kutoa vyeo au ahadi yeyote kwa wanachama wake ila wanachama wa CCM ndio wanaiahidi CCM na ndio maana kuna ahadi 9 za wanachama wa CCM na si ahadi 9 kwa wanachama wa CCM.

Katka kuijenga Tanzania mtu yeyote mwenye uwezo wa kuteuliwa au kuchaguliwa katika nafasi yake anachaguliwa au kuteuliwa bila kujali dini, rangi, kabila na vyama.

mara nyingi Rais Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM amekuwa akisema maendeleo hayana chama, tufanye kazi kwa bidii. tumpongeze kwa kuweza kuishi kauli hiyo kwa vitendo badala ya kulalamika vyeo vya kisiasa ambavyo ni hisani zisizotarajiwa.
Eti maendeleo hayana chama na Magufuli ameyaishi maneno yake?
Bora unyamaze tuu maana kama unasema maneno ambayo hata wewe mwenyewe huyaamini ni shida tuu
 
Back
Top Bottom