SawasawaView attachment 3431078
====
Alichokizungumza ni kuwa hoja za Rostam Aziz ni dhaifu kwenye kumjibu Humphrey Polepole. Amesema hayuko upande wa Polepole lakini hoja za Rostam Aziz si sahihi hivyo ametoa wito kwa CCM kutumia wasomi wa kumjibu Polepole
Pia Soma >> GE2025 - Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz
Mpango waliokuwa nao ni kuwa 2030 pia wanaweka mtu wao.Hii nchi watu hatari sana hawafai kuishi kabisa ni Huyu Rostam na Kikwete ikiwa na Makonda hawa kama kunamtu anaye uchawi aniambie tuwamalize
Hii nchi watu hatari sana hawafai kuishi kabisa ni Huyu Rostam na Kikwete ikiwa na Makonda hawa kama kunamtu anaye uchawi aniambie tuwamalize
Huyu mtu ni muongo sijapata kuona rostam aziz,igunga ni kwao,ana nyumba za ukoo na ana duka na mara nyingi alikuwa anakuja igunga,tena sio mara moja,tatizo ni watu kutomjua rostamView attachment 3431078
====
Alichokizungumza ni kuwa hoja za Rostam Aziz ni dhaifu kwenye kumjibu Humphrey Polepole. Amesema hayuko upande wa Polepole lakini hoja za Rostam Aziz si sahihi hivyo ametoa wito kwa CCM kutumia wasomi wa kumjibu Polepole
Pia Soma >> GE2025 - Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz
Rostam mwenyewe anasema kumuongelea pole pole ni kumpa kiki za bure .na alimuongelea Kwa kua kaulizwa .View attachment 3431078