Kada wa CCM ahamia CHAUMMA

Kada wa CCM ahamia CHAUMMA

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Peter Buhime amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), na kukabidhiwa kadi na Mkurugenzi wa Mawasiliano kwa Umma wa Chaumma, John Mrema katika Mji wa Biharamulo

Peter, aliyewahi kuwa mtia nia wa Ubunge Jimbo la Biharamilo kupitia CCM mwaka 2020. Kada huyo pia amewahi kuwa Katibu wa UVCCM, Kata ya Saranga, Kibamba jijini Dar es Salaam

CCCC.png

Chanzo: Mwananchi_official
 
Nimeona taarifa kuwa Kuna wanaCCM watahamia Chaumma na kuwa wabunge na baadae kutengeneza Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni fake Ili kuwalaghai wazungu walete pesa. Kuchangia bajeti yetu tegemezi chini ya kiongozi wa Upinzani Bungeni Mbowe. Atakayekuwa mbunge wa kuteuliwa na Rais baadae ya kugombea Urais Chaumma.
 
Ni project!! Watamiminika wengi tu.....
 
Nimeona taarifa kuwa Kuna wanaCCM watahamia Chaumma na kuwa wabunge na baadae kutengeneza Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni fake Ili kuwalaghai wazungu walete pesa. Kuchangia bajeti yetu tegemezi chini ya kiongozi wa Upinzani Bungeni Mbowe. Atakayekuwa mbunge wa kuteuliwa na Rais baadae ya kugombea Urais Chaumma.

Hicho kitu Cha kupewa ubunge sio kweli. Hapo ni labda wapambane wapate asilimia 5 ya kura za urais. Hata NCCR waliwahi kuhaidiwa viti vya ubunge ila issue ilipofika walikimbiwa.
 
Kifaranga kinakabidhi kadi wakati bata yeye yuko Dodoma kwenye uzinduzi wa dira ya uchafu
 
Back
Top Bottom