Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
View: https://youtu.be/BhcymOXCtEM
Kamati kuu ya Chama wajaribu kurudia na kutazama upya mchakato wa kuteuwa wagombe wa Ubunge hususani kutoka Jimbo la Meatu ili haki itendeke zaidi.
Ambapo viongozi wa chama waje Jimbo la Meatu wasikilizeni wananchi kilichokuwa kinafanyika, ambapo viongozi wa chama wanaweka pamba masikio awataki kusikia na wanachokisia wanakiamini hicho hich.
Wao ni wawakilishi wa chama ila wenye nguvu ni sisi wanachama wa kawaida ambapo lazima tuwasikilize wanachama