Hua nakuheshimu sana,lakini siamini kama na wewe ni mchumia tumbo kiasi cha kupumzisha kichwa chako kufanya kazi sawa sawa,jiheshimu acha kutumika kutukana makabila ya watu tena tulio jitambua na kuamua kujikomboa na mkoloni mweusi,wabena is not cheap as you coward think,kua mzalendo hata wajukuu watajivunia kua na babu kama wewe,twitanghe vabena vayanghu.