Kada mwingine ajiondoa CCM Njombe Mjini

Kada mwingine ajiondoa CCM Njombe Mjini

unajua we mp.umbavu ntakupasua wewe! Usifikiri na sisi huwa tunacheka kama mnavyochekana kwenye lichama lenu. Ken ge wewe.

aaaaahh!! Mkuu mkiu nenda nae taratibu huyo ni mgonjwa wa akili mkuu hana timamu ndio mana anajipendekeza kwa ccm kwa vile wana mpipopoa 0713 wanamuachia na vijisent kidogo.ubongo wake umejifunga huyo.
 
naona mazezeta mnajidanganya. babu slaa anatumbua ruzuku na hawara nyie mnabaki kupiga mayowe tu. si bure nyie ni wehu na mataahira
 
CDM imekuwa kwa kasi sana na kwa kiasi kikubwa imewezakujitambua na kujitanabaisha. Niche ya CDM ni kwamba sehemu ambazo ina nguvu kweli kweli zilikuwa ni very prime kwa CCM.

CUF vile vile, kimekuwa kwa kasi na kimeweza kujitanabaisha na kukubalika vizuri sehemu kilipotokea. Nguvu zake ni tishio kwa CCM-Zanzibar.

CCM ni chama kikongwe lakini hakina mizizi katika sehemu muhimu Tanzania. Huku mikoani kila mahali wanaenyeshwa tu! Zaidi ya pwani na unguja, sijue ni wapi tena ccm kinapokubalika? Kimekuwa kama chama kisicho na wenyewe. Manake hata kwa Mwl Nyerere ambaye ndo muhasisi mkubwa hamnakitu, hauwezi sema wanangome. Wakiendelea kufanya hii mizaa mizaa ya kina Mwigulu na Nape, na mizaa mizaa ya kujifanya wao baba na sisi watoto, siasa zitazidi kuwa ngumu sana kwao, na watapoteza hata huko pwani na unguja.
 
wana njombe kweli mataahira. yani wamekubali kuingizwa chaka na chama cha kitapeli na kilaghai chadema. nimewadharau sana wabena. shame on them...!

Badala ya kuwatukana Wabena kwa uamuzi wao ambao uko ndani ya katiba,ungewatukana viongozi wa CCM wala Rushwa,mafisadi,wauza unga,wabadhirifu wa mali ya umma,wauzaji wa wanyama wetu,maliasili zetu,Tembo wetu nk.Ungewashikia kidedea hawa ningekuona kweli wewe ni mzalendo,vinginevyo kaa chini ujifikirie,siyo lazima uachane na CCM ila kuwa Mzalendo wa kweli.Pigania mali asili za Taifa lako.
 
CCM ni manyang'au na wevi wakubwa na ndo kinakufa taratibu rejea ujumbe wa MUNGU kupitia mtumishi wake kakobe
 
hata arusha tulianza kuipenda chadema baada ya kuona ulaghai wa ccm,njombe itakua kama arusha chadema hapo ccm ndipo watajuta
 
Badala ya kuwatukana Wabena kwa uamuzi wao ambao uko ndani ya katiba,ungewatukana viongozi wa CCM wala Rushwa,mafisadi,wauza unga,wabadhirifu wa mali ya umma,wauzaji wa wanyama wetu,maliasili zetu,Tembo wetu nk.Ungewashikia kidedea hawa ningekuona kweli wewe ni mzalendo,vinginevyo kaa chini ujifikirie,siyo lazima uachane na CCM ila kuwa Mzalendo wa kweli.Pigania mali asili za Taifa lako.

wala usipoteze muda wako , huyo siyo mtu , NI ROBOT LA CCM , LINATUMIA UMEME !
 
wana njombe kweli mataahira. yani wamekubali kuingizwa chaka na chama cha kitapeli na kilaghai chadema. nimewadharau sana wabena. shame on them...!
When You are telling that you need to think broad as we strongly say Shame on You unabaki kwenye chama cha Mafisadi na cha Magamba.
 
wana njombe kweli mataahira. yani wamekubali kuingizwa chaka na chama cha kitapeli na kilaghai chadema. nimewadharau sana wabena. shame on them...!
Umesoma vizuri uzi lakini wewe? Laghai ni yule aliyepeleka pesa ili chama kishinde na hao wabena unaowadharau ndio wakala pesa zenu na kura kwa CDM, hapo unatakiwa kuwadharau au kuwasifia kwa uzalendo wao!? ccm bila rushwa popote haiwezi kushinda, hata wewe kwa uzi hu tu unalipwa 7k, wenzio tunaandika bure tu bila kupata chochote, kwa hilo tu hata wewe unatakiwa kudharauliwa kabisa!
 
wala usipoteze muda wako , huyo siyo mtu , NI ROBOT LA CCM , LINATUMIA UMEME !

Kaka inabidi kumuelimisha na si kumtukana,ili asije akatulaumu baadaye ati hatukumpa ELIMU ya kutosha.!!!!!!!!!!!
 
jizadharau kwanza wewe kwa kuwa tu mwana ccm ni tusi tosha
 
mabwege hao!!!! wanapungua cccm kaeni chonjo!!! the tehteh!!
 
wana njombe kweli mataahira. yani wamekubali kuingizwa chaka na chama cha kitapeli na kilaghai chadema. nimewadharau sana wabena. shame on them...!
Ha ha ha si mlisema ni chama cha wachaga?
 
Back
Top Bottom