Kada mwingine ajiondoa CCM Njombe Mjini

Kada mwingine ajiondoa CCM Njombe Mjini

lutondwe

Senior Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
150
Reaction score
74
Baada ya katibu mwenezi wa Njombe mjini na mjumbe wa mkutano mkuu wa ccm Taifa ndugu Evaristo Lupenza kutangaza kujitoa katika chama hicho na kuacha madaraka yake yote aliyokuwa nayo kuanzia ngazi ya kata hadi taifa.Leo kada mwingine anayeaminika kwa mipango ya uchachuaji wa kura ndugu Gerald Mwalongo A.K.A Magaga amejivua rasmi nyadhifa zote alizokuwa ndani ya chama hicho.

Bwana Magaga alikuwa ni mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya wazazi wilaya pia mtaalamu wa mambo ya ufundi ndani ya chama hicho katika wilaya ya Njombe ameamua kuachana na chama hicho kutumika kama kiongozi.

Kujitoa kwa Bwana Magaga ni pigo kubwa sana kwa chama kizee hapa Njombe.Bwana huyu kama ni mpira basi huyu ndiye aliyekuwa na sifa ya kushika ndumba.Kwa Njombe hakuna mbunge au diwani ambaye hakufika nyumbani kwa huyu Bwana na kukata kitu kidogo.Alikuwa ni zaidi ya mwanachama wa ccm.

Kujiondoa kwa hawa makada wawili wa ccm ni dhahiri Njombe sasa kama CHADEMA wakijipanga vizuri wanaweza kuwa na nguvu sawa na mikoa mingine yenye nguvu kama Arusha,Mbeya,Mwanza n.k.

Leo karibu siku nzima viongozi wa chama cha mapinduzi wameshinda wanahangaika kunusuru hali ya makada wake kujitoa.Diwani wa viti maalum anayekaa jirani na Highland Hotel akishirikiana na katibu wa ccm wilaya wameshinda wanahangaika kukutana na makada ambao wameingia kwenye mgogoro mkubwa wa kutuhumiana juu ya fedha za kampeni za udiwani uliofanyika Njombe mjini tarehe 9.2.2014 ambapo pamoja na kampeni za chama cha mapinduzi kuwahusisha wanasiasa wengi wenye majini kama Mwakyembe,mwigulu,Deo Filikudzombe,Jah people(Deo Sanga),Ana Makinda,Deo Mwanyika na wengine wengi bado waliabishwa na CHADEMA walioshinda kwa kura nyingi sana.

katika uchaguzi wa Njombe kila kada alikabidhiwa fungu la kugawa kwa wananchi ili kuwashawishi wawapigie kura ccm.Mwisho wa yote inasadikika Makada wapenda mabadiliko waliamua kuzibana fedha zote na kufanyia mambo yao binafsi na hivyo kushindwa hata kufanya tathmini baada ya uchaguzi.

Hadi mwisho wa uchaguzi unamalizika makada waliobaki kwenye mapambano ni Ngole ambaye aliishia kupata kichapo cha nguvu toka kwa makada wa chadema waliofanikiwa kumkamata na kumbana 'KUNAKO'kitu kinamsababishia kuendelea na matibabu hadi leo na inawezekana eneo hilo nyeti limeharibiwa vibaya na kugharimu maisha ya viotea.

Jah people naye pamoja na unene alifanikiwa kutoroka kukwepa nguvu ya umma.
 
Watakaobaki Ccm nimisukule tu,lakini mtu yeyote mwenye kujitambua hawezi kuwa Ccm au labda awe jambazi,muuza Sembe,jangiri na mhamiaji haramu
 
wana njombe kweli mataahira. yani wamekubali kuingizwa chaka na chama cha kitapeli na kilaghai chadema. nimewadharau sana wabena. shame on them...!
 
Natoa wito kwa wananchi kote nchini ya kuwa mkipewa pesa na maccm kazigawaneni na wenzenu, mhamasishane kuitosa, tuirejeshee nchi yetu heshima ya kujiongoza bila rushwa.
 
wana njombe kweli mataahira. yani wamekubali kuingizwa chaka na chama cha kitapeli na kilaghai chadema. nimewadharau sana wabena. shame on them...!

Taahira unyina, upapayo nu dadiyo.
Mods pumzisha mbwa huyu wa Lumumba ametutukana wana njombe wote.
 
kama wananchi wangefanikiwa kumdaka JAH PEOPLE ningefanya sherehe ! DAH KWELI NGUvu YA UMMA NI NOMA SANA , DEO PAMOJA NA UNENE WOTE ULE INASEMEKANA ALITOKEA DIRISHANI !
 
kama wananchi wangefanikiwa kumdaka JAH PEOPLE ningefanya sherehe ! DAH KWELI NGUvu YA UMMA NI NOMA SANA , DEO PAMOJA NA UNENE WOTE ULE INASEMEKANA ALITOKEA DIRISHANI !
 
Ccm wameharibu nchi yetu kwa rushwa,huwezi pata huduma stahiki kwa haraka bila kutoa rushwa,ccm haiwezi kushida chaguzi hata za ndani bila rushwa,hata uchaguzi wa kumchagua samwel sita kuwa mgombea wa bunge la katiba napo rushwa imetembea,sasa tunaipeleka wapi hii nchi?
 
Taahira unyina, upapayo nu dadiyo.
Mods pumzisha mbwa huyu wa Lumumba ametutukana wana njombe wote.

wewe hapa hujatukana? acha kujitoa akili we msukule wa babu slaa
 
wewe hapa hujatukana? acha kujitoa akili we msukule wa babu slaa

Acha kunitafutitia ban we -------- akili zako zipo ma.ta ko.ni unaishi kwa elfu saba za Lumumba. Sisiem imewafanya mnakuwa na akili za maiti kazi kutetea ujinga tu kwenye mitandao masaa 24 baada ya chama chenu kushindwa kuwapa ajira halali.
 
Back
Top Bottom