Kada Mtoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kada Mtoto

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ilulu, Sep 22, 2010.

 1. Ilulu

  Ilulu Senior Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 22, 2008
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Baba kaniambia nivae hivi, alijua nitapata nafasi ya kukusalimia an kupiga picha na wewe Mh!
   

  Attached Files:

 2. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  mmh! kazi kweli kweli.... ukute mtoto kafanywa chambo ya baba kupewa ukuu wa wilaya
   
 3. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Huu ukuu wa wilaya mwaka huuuuuuu! kazi ipo
   
 4. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Huu ndio udhalilishaji wa watoto, angefurahi zaidi kuwa anachezea midoli kuliko kumleta kwenye kampeni
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  ujinga mtupu na hao wazazi wa huyo mtoto HAWANA AKILI:mad2::mad2:
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mtoto huyo si mpiga kura, lakini anatumika kwa malengo binafsi ya mtu!..
  Akili yake inaanza kudumazwa mapema kwa kumwonyesha kwa vitendo kwamba propaganda za kisiasa zinaweza kumrekebishia mtu maisha!...
  Atakuwa na bidii kazini huyo kweli?
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Anampa nafasi ya kukipenda chama mtoto wake angali bado mdogo,kwangu mimi sioni tatizo maana ndio inajenga msingi wa watoto kufuatilia mambo katika kupanua wigo wao wa ufahamu kuhusu siasa na utawala katika nchi ambayo wao hapo baadae ndio watakuwa mihimili ya taifa letu baada ya kizazi chetu kupita.
  Wazazi mfanyao hivi pia muwaambie ukweli watoto wenu kuwa chama kina UFISADI,RUSHWA,MIZENGWE ili nao wajue si kuwapeleka tu kama bendera inavyofuata upepo.
   
 8. M

  MFILIPINO Senior Member

  #8
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kAFISADI KA BAADAE HAKO!
   
 9. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  fisadi Junior? mbuyu ulianza kama mchicha.
   
 10. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  kapendeza!
   
 11. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  z_p06-Of%20Idi%20Amin%E2%80%99s%20son,02.jpg
  Idi Amin na mwanawe Taban !
   
Loading...