Kada mashuhuri wa CCM ajiunga CHADEMA


Kwa Ngara sitarajii mabadiliko Km waliacha kumpa kura Sammy Ruhuza ni nani mwingine mwenye ubavu wa kupenya.
 

ala moja haikai panga mbili, pimba lisilo akili waswahil husema ni gogo, taja magogo yote la mbuyu si la mvule, isiyokuwashahujairamba....
 
Jamaa yupo fit! Nafikiri hii ni kazi nzuri ya mwenezi KAKOKO! bila kumsahau kamanda TALL pale Victoria.

Ngoja nianze kampeni ya udiwani Ngara mjini, mkuu Kakoko andaa kadi mwanachama mpya nimejitosa
 
Kwa Ngara sitarajii mabadiliko Km waliacha kumpa kura Sammy Ruhuza ni nani mwingine mwenye ubavu wa kupenya.
Kweli Murugalama kama akina Ruhuza na Gashaza wamekosa itakuwaje Dr Bujali apate ubunge kiraisi kiukweli mtetezi wa Ngara ni Gashaza wengine sina imani nao.
 
Chiku ...... Usinilazimishe kuwa upande wako
HojA yangu si kukutaka uunge mkono upande wangu ila langu ni moja tu mtu kuwa na falsafa moja inayoeleweka na kama umesoma fasihi ktk maisha yako ni kwamba fasihi inahimiza wahusika ktk kazi za fasihi kuwa na falsafa inayoeleweka mfn. falsafa ya kimapinduzi, mlengo kati, mambo leo n.k. Wewe mwanzo ulijikita kujadili ubora wa mtu nami nikakutambua kama mtu huru sasa ukaja kujadili chama cha mtu na ujumbe wake wa NEC ndipo hapo watu makini ktk uchambuzi tukaku-attack ili kukumbusha usiwe msahaulifu ktk hoja zako ili tuijenge jamiii. Lengo si kutaka vyeo kama zilivyo ndoto za vijana wengi humu, ila mimi sikuzote naunga mkono wale wenye dhamira ya kututoa hapa shimoni tulipotumbukizwa na ccm bila kuwa na tumaini la kutolewa hapa. So tujenge nchi wabaya tuwakatae bila kujali utakosa kibarua. Nawasilisha!!!
 
Kweli Murugalama kama akina Ruhuza na Gashaza wamekosa itakuwaje Dr Bujali apate ubunge kiraisi kiukweli mtetezi wa Ngara ni Gashaza wengine sina imani nao.

Gashaza alijitolea kumpigia kampeni Mzee alipokuwa India na ahadi ni kumuachia 2015, ngoja tuone km Mzee atatema tonge mdomoni
 

ndugu yangu sasa nimeona hoja na maelezo yanayotakiwa kutolewa na mtu anaejitambua kaka mimi kwa kias fulani nazifahamu siasa za Ngara kwa kweli pale upinzani bado sana,,, nilichofanya sio kunadi mtu nilitaka maoni ya mpiga kura mwenzangu anamfahamu vipi mmoja wa watu tunaohisi watagombea hilo kwangu mimi sio kosa na naamin halitakuwa kosa milele. hiyo ni kwa mujibu wangu
 
Duh, kweli? huyu bwana alianza kujenga mjengo kule Rulenge ili come 2015 agombee ubunge kwa CCM! Kazi kweli kweli!
 
Kweli Murugalama kama akina Ruhuza na Gashaza wamekosa itakuwaje Dr Bujali apate ubunge kiraisi kiukweli mtetezi wa Ngara ni Gashaza wengine sina imani nao.

Acheni huo Umburula wenu kwani Bujari amesema hapa kama anataka kuwania ubunge?, yeye amehamia Cdm basi hayo ni yenu, kwani Sam Ruhuza na Gashaza ni wakina nani?, kama wao walikosa shauri yao

Jamani wahangaza tuache Ushamba kimsingi tuunge mkono Cdm ni chama makini,
fungueni matawi mengi hapo km kule mukadunduri, mukafigili, mabawe, muhweza na sehemu zinginezo cdm mbele kwa mbele.
 

kwa matusi hayo napata shaka kamanda utawafundisha nini wadogo zetu wanaoipenda CDM kwa ninavyofaham wanangara ni wastaarabu sana napata mashaka na asili yako. HIVI BILA MATUSI HUWEZI KUELEWEKA?
 

Mukafigiri, Mukadunduri hapo unaona population kwa ajili ya soko la mara moja kwa wiki, Muhweza pale kwa waarabu mpaka leo bendera ya kijani haiwezi badilika nafikiri ungesema Rulenge, Benaco, Murusagamba, Ngara mjini na Kabanga border huko ndio nguvu kubwa ielekezwe halafu huko ulikopendekeza ndio iwe mbele kwa mbele.
 
Msaliti mkubwa, amehongwa na CDM, n.k kauli kama hizi mbona sijazisoma?
 
Huyu Mashishanga namkubali sana kwa pale Rulenge, ni bingwa wa kushawishi hasa ile jinsia nyingine

Haaa mkuu mie ctaki ugomvi na mashishanga ninachojua ni mchapa kazi wa chama chetu mengine siyajui ila bado kwa mkoa wa kagera watu cyo wepesi katika kutoa maamuzi ngoja tuone 2015.
 
Karibu kamanda tuunganishe nguvu za kuiondoa CCM kwani imeshindwa kuondoa UJINGA, MARADHI na UMASKINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…