huyo mroho wa madaraka.. Pokeeni zigo hilo lenye wivu wa madaraka.
Ila mwisho wa siku atarudi CCM.
huyo mroho wa madaraka.. Pokeeni zigo hilo lenye wivu wa madaraka.
Ila mwisho wa siku atarudi CCM.
......Nina hakika mwaka 2015 ndani ya vyama vya upinzani hakutakuwa na uteuzi kama tulivyozoea huko nyuma bali kutakuwa na uchaguzi. Utakuwa uchaguzi wenye ushindani mkali sana katika baadhi ya majimbo. Hata baadhi ya walio wabunge wa upinzania kwa sasa, 2015 watapingwa ndani ya vyama vyao.
Nimekutana na watu mbalimbali katika nyakati na mazungumzo tofauti tofauti wakiwa tayari wanajitambulisha kama Wabunge wa Majimbo husika kwa kipindi kijacho 2015-2020! Na mara nyingi kama si mara zote hawa "wabunge" wanajinasibu kuupata Ubunge kupitia chama kile kile. Hata wakati mwingine nakutana na watu zaidi ya watatu kwa nyakati tofauti na wote wanajitambulisha ni Wabunge watarajiwa wa eneo lieliele kupitia chama kile kile kwa kipindi kilekile 2015-2020! Unaweza kubashiri toka leo hicho chama kitakuwa na hali ngumu kiasi gani muda ukifika wa kuwapata wagombea.
Rai yangu kwa wabunge watarajiwa wanaotangaza nia kuanzia sasa wafikirie upya juu njia sahihi ya kujitambulisha. Wasijiwekee akiba ya msongo pale watakapojikuta safari yao haikuvuka hata mzingiti wa mlango! Nadhani wengi hawako sahihi pale wanapojitangaza kama vile tayari wana tiketi za kuwakilisha vyama vyao. Badala ya kusema Nitagombea Ubunge XXX 2015 kwa tiketi ya YYY Labda watakuwa sahihi zaidi wakisema Nitaomba ridhaa ya chama YYY kugombe Ubunge wa Jimbo XXX mwaka 2015. Ukilijua hili na kuliweka akilini, itakusaidia pia kujua kwamba vita yako haianzii hatua ya pili bali hatua ya kwanza. Itakupa fursa ya kujijenga mapema na kuweka mkakati wa kushinda kwanza hatua ya awali.
Vinginevyo nawatakia maandalizi mema.
Kada wa CCM jimbo la Ngara, Dr Peter Bujari ametangaza uamuzi wa kujitoa CCM na kujiunga na CHADEMA hivi punde.
Amewaambia wanahabari kuwa CCM imeshindwa kuondoa kero mbalimbali.
Pia amesema amejiunga na CHADEMA kutokana na sera na Uongozi thabiti. na usioyumba wa Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa.
Source:Mwananchi Breaking News.
Kada wa CCM jimbo la Ngara, Dr Peter Bujari ametangaza uamuzi wa kujitoa CCM na kujiunga na CHADEMA hivi punde.
Amewaambia wanahabari kuwa CCM imeshindwa kuondoa kero mbalimbali.
Pia amesema amejiunga na CHADEMA kutokana na sera na Uongozi thabiti. na usioyumba wa Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa.
Source:Mwananchi Breaking News.
huyo mroho wa madaraka.. Pokeeni zigo hilo lenye wivu wa madaraka.
Ila mwisho wa siku atarudi CCM.
Njaa inamsumbua. Kwa hiyo hizo kero mbalimbali zinaweza kutatuliwa na Chadema? Toka lini Chadema ikatatua matatizo? Chadema ipo kuleta matatizo sio kuyatatua.
huyo mroho wa madaraka.. Pokeeni zigo hilo lenye wivu wa madaraka.
Ila mwisho wa siku atarudi CCM.
Umashuhuri wenyewe uko wapi mbona siuoni?
Hahahaha maneno ya mkosaji haya, mpaka mwishoni mwa 2014 ccm mtabaki nyie na wake zenu tu, watanzania watakuwa tayari kwenda kwa wajanja chadema.
Kada wa CCM jimbo la Ngara, Dr Peter Bujari ametangaza uamuzi wa kujitoa CCM na kujiunga na CHADEMA hivi punde.
Amewaambia wanahabari kuwa CCM imeshindwa kuondoa kero mbalimbali.
Pia amesema amejiunga na CHADEMA kutokana na sera na Uongozi thabiti. na usioyumba wa Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa.
Source:Mwananchi Breaking News.
wapigania tumbo wako chadema eg. Babu Slaa, Mbowe, lEMA, Sugu na jamii ya akina Msigwatunamshukuru kwa kuamua kupigania nchi badala ya tumbo lake .