Kada wa chama cha mapinduzi ( CCM) Amandus Jordan Tembo, juni 28,2025 amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Songea mjini katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika hapa nchini mwezi oktaba mwaka huu
Toronto mdau wa maendeleo hapa Songea mjini na mwanachama hai wa chama cha mapinduzi( CCM) amesema ameamua kuchukua fomu ili kuwatumikia wananchi wa jimbo la Songea mjini kwa kuwa anaweza kuwa mwakilishi bora wa kusimamia na kuwatetea wananchi wa Songea mjini katika kuleta maendeleo.
" Wakati umefika wa jimbo la Songea mjini kufanya mabadiliko ya kupata mbunge ambaye yuko tayari kuwatumikia wananchi katika nyanja mbalimbali huku msingi wa kwanza ukiwa ni kuboresha huduma za kijamii kwenye maeneo yote ya jimbo la Songea mjini" amesema Toronto
Hii ni mara ya kwanza kwa Toronto kuwania ubunge katika jimbo hilo na ni baada ya kutafakari kwa kina na kusikiliza maoni ya watu mbalimbali kuhusu ujenzi wa jimbo hilo na Taifa kwa ujumla