Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,214
- 20,988
Niko na mpenzi ambaye tumedumu naye kwa miaka mi 3, mahusiano yetu huwa tunaachana na kurudiana, huyu msichana kiukweli ananipenda sana ila mimi simkubali sana kihivyo, huwa nampendea msambwanda wake tu na mara nyingi huwa namwita geto usiku tunalala wote mpaka asbhi kisha anarudi kwake mapema.
Jana nilimwambia aje geto mimi nikaenda zangu kutazama mpira na washikaji, niliporudi nilimkuta chumbani maana nilimwelekeza wapi ufunguo ataukuta, tukafanya yetu mpaka asubuhi alipoondoka saa 12 na hii amekuja toka miezi 3 tulipozinguana na sikuwahi kutaka kuonana naye.
Huo mda alioondoka nilimfungulia geti nikiwa nimevaa taulo, kulipopambuza nikasema nijiandae nivae ndio nakuta nguo haionekani, nimetafuta sana ila sijaiona, pia nimekuta msichana kapekua pekua sana kwenye makabrasha yangu japo mpaka sasa sijaona chochote alichoondoka nacho kwa upande huo.
Hapa nipo kazini lakini akili haiko sawa kabisa nawaza lengo la kuchukua hiyo nguo ni nini na ukizingatia baada ya tendo nilihisi kama anajifutia ukeni, nimejaribu kumtafuta hewani hapatikani.