Kachemka Tena!!! Mulugo tuonee huruma...pumzika tuachie wizara yetu jamani

Baba Mkwe

Member
Sep 25, 2012
45
21
Kachemka tena!!!

Leo akijibu swali la Mh Mbatia kuwa ni lini serikali itarudisha mfumo wa 3 K's (kusoma, Kuandika na Kuhesabu), amesema eti serikali itarusidha mfumo wa 3 R's yaani Reading, wRiting and aRithmetic!! Hivi kweli hiki ndio kifupi cha hizo R 3 anazozisema???

Kuna mwingine aliyemsikia akisema hili??

Another shame!!
 
Huenda naye anaufikiria uprezdaa wa Tz ndo maana anachemka,
maana nchi hii hivi sasa kila mtu anadhani anaweza kuwa rais...
 
Kwani kwa sasa wanafunzi hawasomi, hawaandiki na hawahesabu? Swali la Mbatia nalo ni swali kweli? Haya ni matokeo ya pale dhaifu zinapogongana!!
 
hahhahhahah mimi nasikiliza bunge sasa likuwa sijaelewa bado huyu anamaanisha nini?
ll !! Pasco uko wapi na slipu tongue yako
 
Last edited by a moderator:
Kachemka tena!!!

Leo akijibu swali la Mh Mbatia kuwa ni lini serikali itarudisha mfumo wa 3 K's (kusoma, Kuandika na Kuhesabu), amesema eti serikali itarusidha mfumo wa 3 R's yaani Reading, wRighting and aRithmetic!! Hivi kweli hiki ndio kifupi cha hizo R 3 anazozisema???

Kuna mwingine aliyemsikia akisema hili??

Another shame!!

What Another slip of tongue!
 
Mwenye CV ya Mulugo atuwekee tafadhali; huyu jamaa ni kilaza wa kutosha kuiangamiza elimu ya watanzania ambayo ndiyo sera ya CCM
 
Mwenye CV ya Mulugo atuwekee tafadhali; huyu jamaa ni kilaza wa kutosha kuiangamiza elimu ya watanzania ambayo ndiyo sera ya CCM

Ilishatolewa CV yake akiwa mtumishi wa Southern Highland Secondary School au unataka kumwajiri?
 
Kachemka tena!!!

Leo akijibu swali la Mh Mbatia kuwa ni lini serikali itarudisha mfumo wa 3 K's (kusoma, Kuandika na Kuhesabu), amesema eti serikali itarusidha mfumo wa 3 R's yaani Reading, wRighting and aRithmetic!! Hivi kweli hiki ndio kifupi cha hizo R 3 anazozisema???

Kuna mwingine aliyemsikia akisema hili??

Another shame!!

hapo kwenye RED ulikua unamaanisha nini? au nawe ndio ulimi umeteleza au vidole vimeganda?
 
hapo kwenye RED ulikua unamaanisha nini? au nawe ndio ulimi umeteleza au vidole vimeganda?

Kweli nilikosea nilimaanisha wRiting. Nilikuwa nawahi kuweka kumbukumbu sawa kabla muda haujaenda maana vibonzo ni vingi muda huu!!!
 
Kwani kwa sasa wanafunzi hawasomi, hawaandiki na hawahesabu? Swali la Mbatia nalo ni swali kweli? Haya ni matokeo ya pale dhaifu zinapogongana!!

Swali la Mbatia lilikuwa kwasasa wanafunzi badala ya kutumia mfumo wa 3 K's ( ambao maana yake wawe wanasoma masomo matatu tu kwa upeo wao na ndio system ya kimataifa na ndio iliyokuwa inatumia miaka yetu) pekee wao wana mfumo wa masomo nane!!! wanasoma hadi stadi za kazi, geografia n.k....sasa mtoto wa darasa la kwanza na Jiografia wapi na wapi?
 
inabidi kufanya utafiti kidogo pengine yuko sahihi yaani ndivyo inavyoitwa maana sidhani kama ni yeye katunga hiyo kitu na inawezekana inaitwa three R's kwa kuwa kwenye kila neno kuna R bila kujali position ya R kwenye neno husika au labda kutokana na utamkwaji wa maneno hayo!!
 
hahhahhahah mimi nasikiliza bunge sasa likuwa sijaelewa bado huyu anamaanisha nini?
ll !! Pasco uko wapi na slipu tongue yako

Jamani achaneni na Pasco ile assignment alisha imaliza, hii ya sasa mpaka wakubaliane upya atamsafisha kwa bei gani.
 
Last edited by a moderator:
Sasa kosa lake ni nini? Naona kila mtu anashabikia tu bila hata kusema amekosea kitu gani? Leteni nyie jibu sahihi basi. 3 K's zinatafsiriwaje kwa kiingereza? Maana hiyo 3 R's mimi nimeliona mahali pengi na likiwa na maana hiyohiyo ya Mulugo sasa ninyi mlitaka asemeje? Labda na mimi nimekuwa mchemikaji, but mnapooanza kuargue muwe mnaeleza alichokosea na majibu ambayo yangekuwa sahihi.
 
Hapana wewe siyo mchemikaji mpo sawa tu na Mulugo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom