Kaburi la Sheikh Yahya lavunjwa Dar

Kaburi la Sheikh Yahya lavunjwa Dar

Harafu mnajimu Jr analalama mpaka Anita media kuwa kaburi limebomolewa na City!!!!!!, harafu serikali nayo anaandaa mipango ya kulijengea?????!!"!"". Wonders will never end, only in Tz

Kumbe mkuu, si wanakuwa wanalipa fadhila za zile ramli zake?? Serikali shirikina ndiyo maana maendeleo hakuna, we are stagnant kabisa!!! Maisha duni. Sisi wenye angalao kipato kidogo cha kupigana na maisha tunaishia kuwasaidia extended family tu!!! Yaani nina hasira sana. Maisha hayabadiliki!!! Yale maisha bora kwa kila mtanzania now in vain!!!
 
Wangemchoma tu moto halafu wahifadhi majivu yao ili wale wanasiasa alikuwa anawatabiria wawe wanaenda kusujudia majivu!!!! Kweli kama serikali inaamini ramli hata kuitolea press release basi tumekwisha!!!
au alizikwa kavaa dhahabu?
 
Halmashauri wanahusika na ubomoaji wa kaburi hilo, hivyo walitengeneze nakuwaomba waislamu msamaha halafu wasirudie tena,
 
Kuheshimu makaburi? kwa ajili gani? Mbona kuna sheria za kuondosha makaburi baada ya muda fulani? Ndio heshima? makaburi ni kumbukumbu tu na kwa sababu ni kumbukumbu ya waliotangulia kuweka attention kwa Sheikh Yahya pekee sio sawa kwa sababu makaburi mengi hapo muhimbili yamebomolewa/yamebomoka kwa sababu mbalimbali. Kama it is very important to hanor kaburi la Sheikh Yahya basi watatufe namna nyingie kulihamisha wakalipeleke Museum. Kuepukana na hili serikali inapaswa kuweka ukuta maeneo kama hayo, mbona iko kwenye sheria ndogo ndogo za miji?
Si Mila wala desturi zetu Waafrika kubughuzi sehemu Za makaburi, hii sasa imekuwa comon kila mahali hapa Tanzania..... Na hii ni kutokana na mmomonyoko wa Maadili, kuanzia kwa viongozi hadi wananchi.
Kweli tumeshindwa kuheshimu sehem Za makaburi?????
 
Ngoja afufuke aje atutabirie serikali mbili au Tatu?

tehehehheh, kwa style hii sasa naona tunapoelekea ni kutafutiana ile dua waliokua wanataka kumsomea Alhaji Kikwete.
 
tehehehheh, kwa style hii sasa naona tunapoelekea ni kutafutiana ile dua waliokua wanataka kumsomea Alhaji Kikwete.

Ila si nasikia waislamu hawaruhusiwi kujengea kaburi kwa matofari?mbona huyu wamemjengea sasa?
 
Back
Top Bottom