me1
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 367
- 422
Habari wanajamvi,kuna mambo kadhaa naona hayako sawa na ndio mana sanaa yetu inaonekana iko nyuma kila siku.
Inadaiwa kuwa ili kuwa wakimataifa lazima kazi zako zionekane kwenye vituo vya kimataifa.
Huu pia ni utumwa.Hawa jamaa tukipeleka video za kibongo wanadai hawawez piga coz ziko chini ya kiwango na wanatoa rundo la vigezo.
Japo kuna video nying tu za west na kwingineko za kawaida sana na wanazipiga kutwa mara kadhaa.
Sasa leo nimeshangaa kuona hata hii ya "Kamwambie" ambayo imeng'aa kwa nguvu ya edit sio ubora wa camera eti wameanza kuipiga pia.
Ni kweli inshu ni quality au ni nin? Hiz video za bwana Naseeb wakati zinatoka hazikukidhi vigezo leo ndo zimekuwa na quality ya juu?
Au kwa vile amekuwa super mega Africa bas ndo haya masharti hayazingatiwi?
Nadhani kama tungekuwa na media zetu strong na za kimataifa,amini nakwambia huu mziki wa bongo na sanaa zingine tunazoita local kama filamu n.k vingekuwa mbali mno.
Wadau wa mziki,tusiishie kufurahia kuona watu wanaenda kuangamiza pesa nyingi nje ili kufanya video wanazotaka mabepari kwa kile kinachoitwa kusaka tobo.Tukiwa na media zetu tutakua na masharti yetu na mziki wetu utatazamwa kimataifa