Hili ni kaburi la kijana yatima aliyakuwa akilelewa katika kituo kimojawapo cha kulelea watoto yatima jiji
Dar se salaam.
Kisa cha kujengewa kaburi la aina hii ni kwasababu kijana huyu alikuwa anapenda sana magari, ikatokea siku akapata rafiki wa kizungu baadaye huyo mzungu akamhaidi kuwa anasafiri kwenda kwao ila akirudi atamnunulia gari.
Wakati huyo rafiki yake akiwa safarini yule kijana alipata aliugua na kufariki dunia akiwa na umri wa miaka 21, mzungu aliporudi kutoka kwao kweli alikuja na pesa ya kumnunulia gari lakini bahati mbaya akakuta kijana amekwishafariki dunia ndipo akaamua kutumia kiasi cha pesa hiyo kumjengea kaburi la aina hii.