Kaburi kama Room ya kupanga SINZA

Kaburi kama Room ya kupanga SINZA

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,338
Reaction score
111,578
Hebu jioneeni wenyewe huko ulimwenguni....

attachment.php
 
Haimsaidii lolote marehemu, yeye na mimi nitakayeshushiwa tani ya mchanga tofauti yetu itakuwa ni kile tulichofanya wakati wa uhai wetu

Hicho kitanda ni bora wangetumia wao, kufuru nyingine hazina kichwa wala miguu
 
Kama it makes them fil beta poa tu japokua haisaidii, ila kwa hawa wenzetu inawezekana ni swala la ki imani pia.
 
Mbona hawajamwekea ka kaunta ka kimtindo ka vinywaji!!?
 
Labda wataweka na mlango watakuwa wanamtembelea hadi huko ndani. Wageni wanakaa kitandani.
 
Inaonekana ni kwa ajili ya huyo aliyekaa hapo kitandani
 
Back
Top Bottom