Kabudi, Samia na seeikali yote ni Haramu

Tujitokeze kwa wingi tarehe 29 mwezi wa 10 mwaka huu kwenye maandamano ili kuitoa hii serikali haramu ya huyu mmama.
 
Nchi inaongozwa na genge la wahuni
Jeshi likilinda Nyaraka mhimu zispotee
Labda.
 
Wamejipachika kwenye nafasi walizimo kwa gharama za damu za Watanganyika. Wauaji wanavuja damu za wananchi, ndiyo maana hawana mvuto mbele ya wananchi.
Laana ikatande juu yao na vizazi vyao. Kamwe hawataionja furaha wala amani mioyoni mwao, sawa na ilivyokuwa kwa Kaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…