Atapiga tu anafikiri hizi ni enzi za Cold war zile enzi za kuringa na kujifanya kususia nchi za Magharibi wakati huohuo unawapigia simu umoja wa Sovieti zimeshapita.
Sasa kwanini mnalilia Kabudi alipo sema hatuko tayari kuuza utu wetu sababu ya misaada? Ina maana nyie mnapenda sana tu endelee kupewa misaada yenye masharti hata ya kutoa tigo?