Kabudi ndiyo Goebbels wa leo

Kabudi ndiyo Goebbels wa leo

Atapiga tu anafikiri hizi ni enzi za Cold war
Mtu hawezi kuja nyumbani kwako akasema ili nikusaidie hii shida yako ngoja nmgonge mkeo kwanza! Alafu eti unakubali.

Niko pamoja na Kabudi na selikali yangu, kama wanataka kutusaidia walete hiyo misaada bila masharti ya lazima mfanye hivi mara vile, hapo uhuru wako uko wapi?

Lazima tuwadishie hata kama tutapata shida lkn tutapata akili ya kutafuta vyetu.
 
Ukifuatilia matamshi na matendo yake, no dhahiri Kabudi ndiyo Goebbels wa leo.
Wakati Adolf Hitler akiwa kwenye kilele chake, alikuwa na mpiga propaganda huyo- Goebbels.
Kabudi anataka kumpiku Goebbels.

Mtu very reactionary namna hiyo halafu eti ndio kiongozi wa diplomasia wa serikali?

Mtu ambae anatakiwa awe mwanadiplomasia namba moja yeye ndio instigator namba moja!

Na yale macho,na ile misauti kama anagombeza vitoto vya kindergarten vile!

Ndio anaenda nje ya nchi kuongea kwa staili ile kweli?

Aisee tumeisha!
 
Mtu hawezi kuja nyumbani kwako akasema ili nikusaidie hii shida yako ngoja nmgonge mkeo kwanza! Alafu eti unakubali.

Niko pamoja na Kabudi na selikali yangu, kama wanataka kutusaidia walete hiyo misaada bila masharti ya lazima mfanye hivi mara vile, hapo uhuru wako uko wapi?

Lazima tuwadishie hata kama tutapata shida lkn tutapata akili ya kutafuta vyetu.

Hapana mzee...

Hata stori nzima huijui,hatuijui...

Mzungu kaja lini kukwambia anataka kumgonga mkeo?

Shida ni kua wazungu walitaka demokrasia iwepo,jiwe kakataaa..hiyo ndio shida!

Kuhusu ugomvi wa mikataba ya madini wanapambana huko mahakamani,na mshindi atajulikana!

Unakurupuka tu Kabudi kakukurupusha na stori za uongo una-side na serikali!

\Serikali imeua demokrasia,haitaki mtu wa kumwambia irudishe,sasa wamemwambia wao hawataki...

Siwezi kua upande wa serikali ya kiduwanzi inayoua demokrasia nchiniii

Siwezi!
 
Atapiga tu anafikiri hizi ni enzi za Cold war zile enzi za kuringa na kujifanya kususia nchi za Magharibi wakati huohuo unawapigia simu umoja wa Sovieti zimeshapita.
Nyerere aliumbuka pale alipowaomba soviet cuba na China hela na vifaa vya kivita kupambana na IDD amini. Walimtolea nje wakamwambia hakuna cha Bure leta hela tukupe mzigo.

Ndo kurudi Analia na propaganda, "sababu ya kumpiga tunayo, nia ya kumpiga tunayo"

Kiukweli ile vita tulishinda kipropaganda zaidi, IDD alikuwa vizuri
 
Na Prescot Bush ni nani kama Magufuli ni Adolf Hitler na Kabudi ni Goebel? Kwa maana Adolf Hitler alifadhiliwa na Familia ya George Bush President wa USA, isitoshe wako wapi nazi scientists wetu kwa maana Adolf Hitler's scientists ndo baba wa nuclear weapon, space science yote, bila ya Nazi Germany hakuna NASA wala Sputnik, hakuna rocket za kwenda space, hata Americanna Soviet Union military superiority imejengwa na nazi scientists.
 
Back
Top Bottom