Na ningeipata ningeula maana kila kichwa malupulupu kibao
Usije ukapaliwa mengine nitakuambia kesho
Halafu usinisifu tena maana bado naitafuta hiyo kazi
Zaman mnyongaji alikuwa anashitakiwa mahakama kuu kuhusiana na tendo la kuua ila nadhani utaratibu umebadilika anakuwa mkuu wa gereza kama hakimu/judge i stand to be corrected