mlio kwenye ndoa kuna ukweli wowote apo?
kwa kifupi tunakubaliana
balaa hili daaaa majibu ya mkato hayo siyapendi mmxxiuuu
hizo ndoa na majibu yake kama watu wa maeneo fulani hivi?
Ni kawaida.bora kuwA mchepuko.. haha ha ha
ndio ukisoma kwa kwenda chini ndipo ukweli wa kwanza ulipo... Na kwakwenda juu ndio ukweli wa mwisho kabla ya kuvunjika kwa ndoa nyingi..Mlio kwenye ndoa kuna ukweli wowote apo?
Mlio kwenye ndoa kuna ukweli wowote apo?
Kwa hiyo unamaanisha kwamba imeshawahi kukutokea
Huyapendi ukisoma kwa kwenda juu ama ukisoma kwa kwenda chini:what:
We jamaa ni noma sn ulijuaje...?
Matatizo mengi katika ndo yamefanya ndoa kwa ujumla wake ionekane si jema....jambo ambalo sio kweli.
Kuna ndo zinazodumu na kuwa mfano hata utamani we uwe ni sehemu yake.
Basi sawa!🙄Jamani majogoo ya jiji yanakwenda kufanya yao
You will never walk alone
The pride of meryseside
Sio kwa wote. Watu tuna miaka zaidi ya thelathini ndoani na mambo sio hivo yaani ni mwanzo mwiisho mtindo mmoja bila kuanza mwisho mwanzo!