"Kabla ya Kutoboa Lazima Ugongwe sana!"

"Kabla ya Kutoboa Lazima Ugongwe sana!"

Mkuu hapo sijakusoma unamaanisha nini
Namaanisha ngoja niendelee kuvumilia changamoto ninazokumbana nazo,mafanikio yananikaribia [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulinielewa vibaya eeh! [emoji12] [emoji12]
 
Namaanisha ngoja niendelee kuvumilia changamoto ninazokumbana nazo,mafanikio yananikaribia [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulinielewa vibaya eeh! [emoji12] [emoji12]
Ahaaaa. kumbe ndio unamanisha hivyo. Mvumilivu hula mbivu
 
Kumbe eeeh! Ngoja niendelee kuvumilia kugongwa, mafanikio yananikaribia....
Yeah usijali we gongwa tu ukiona panazidi ujue soon kivuli chaja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweeeli kabisaa, ili ufanikiwe lazima upitie changamotoo.... Ngoja nipambane na hali yangu
 
Hahaaa hii lugha hii aya mkuu endelea kugongwa
Lugha haina shida,tatizo ni maana tata zilizojengeka vichwani mwa watu! [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Ni kweeeli kabisaa, ili ufanikiwe lazima upitie changamotoo.... Ngoja nipambane na hali yangu
FACT..... ila usije ukatingisha za wengine[emoji56] [emoji56] [emoji56]

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Back
Top Bottom