Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,104
- 26,070
Huwezi kuziona kama umekunywa maji ya kijani na umagufuli umekuingia,wewe ni aina ya watu kesho Magufuli akisema ameruhusu wote wapate elimu kwenye mfumo rasmi,utakuja hapa kupongeza!Shida yako wewe kubwa n kujaza chuki kwa Magufuli basi hakuna lingine na hakuna point za maana unazotoa ili kutetea hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliwaona kwenye kikotoo kipya mlipongeza,alivyobadili maamuzi na kurudisha cha zamani mkaja hapa kumpa sifa kede kede!Type yenu wafuata upepo mnajulikana!