Kabla ya kuoa inabidi ujifunze hii staili...

Kabla ya kuoa inabidi ujifunze hii staili...

Hahahahaaaaaaa naliogopa kama ukoma Lile saivi limenizawadia ban tatu murua ILA nimegundua chimbo lingine, hilo ni mwisho wa matatizo linaitwa 'mambo ya kikubwa' yani kule hata shetani mwenyewe cha mtoto
Huko nako nasikia hapakaliki tangu bwana mkubwa asaini ile sharia ya mtandao CYBER CRIME LAW...wadau wanachungulia na kuondoka kimya kimya tena kwa spidi ya roketi..........
 
Allah ametoka wapi kwenye upuuzi kama huu?Wagalatia bhana acheni chokochoko,wakiwaGarissa mnalalamika!
Halafu huko ICU unamkuta pembeni ya mumewe anabembeleza Allah amponye hima eti ni shetani tu!!!
 
hili litakuwa limempata camera man,
pole yake aisee.
 
Allah ametoka wapi kwenye upuuzi kama huu?Wagalatia bhana acheni chokochoko,wakiwaGarissa mnalalamika!

Nikusaidie tu ndoa yoyote ni ukamilifu ktk uumbaji, Mke kumwombea dua Mume hakuhitaji ukristu au uislamu na Allah ni jina la Mungu mkuu km yalivyo majina mengine Yehova, Yawe, Mlungu, Baba!
 
Back
Top Bottom