i'll learn this too..lol
long time no see broda.....kwani ndoa ni mapambano?
NDOA ni kutaniko la UPENDO na FURAHA ya milele kwa watu wawili walioridhiana kutoka ndani ya nafsi zao kuwa mke na mume wakiunganishwa na nguvu kubwa ya upendo ndani ya PENDO lilizijaza nyoyo zao huku uwili huo ukikamilisha maisha ya kila mmoja hapa duniani..kinyume na hapo hakuna NDOA bali ni watu wawili waishio chumba kimoja kwa ajili ya kuhudumiana kimwili......
Welcome back Broda...lile jukwaa letu la mambo yale yanayotuhusu sisi tu ni kama limekufa mkuu....nakaribia mwezi sasa sijaenda kuoga mkuu...fanya uwepo wako uonekane mkuu...am dying dirty....Sure thing KikulachoChako! But God is great nafurahi kukuona uko live
Welcome back Broda...lile jukwaa letu la mambo yale yanayotuhusu sisi tu ni kama limekufa mkuu....nakaribia mwezi sasa sijaenda kuoga mkuu...fanya uwepo wako uonekane mkuu...am dying dirty....