Maisha hayana formula, unaweza muoa uliyemzidi na bado akawa pasua kichwa, nina mifano halisi kwa haya!
Yote nadharia hasi hiyo!!!!
Hivi ukiwa na mchumba toka say chuo ukamuoa ye akaajiriwa na wewe ukaajiriwa halafu akapata short course na nafasi yenye kumpa say safari nyingi na hata za nje thus akapata kipato zaid yako wakampa usafiri.
Mka apply masters yeye akapata pesa kutoka ofisini kwao fasta we muajiri akakuambia utaenda next year sababu watu wengi wako masomoni hivyo fund hamna this year!!!!
Mwaka umefika na fund ipo unakosa nafasi chuo unachokitaka,mke anamaliza na cheo na mshahara juu!!!!!!
Unamkimbia au unafanyaje????!!!!
Ndoa siyo rahisi kama uifikiriavyo! Na factors zinazom-control mwanamke flan usidhani zipo applicable kwa wanawake wote!Mke wako hana kipato kikubwa kukuzidi mfano kama anaingiza elfu 1 basi mwanaume uingize elfu 2 kwa kufanya hivyo mwanamke lazima akuheshimu tena hakikisha unampa uhuru wa kutumia pesa yake bila kumuingilia.
Hakikisha unamzidi elimu au mnalingana usioe mwanamke anakuzidi elimu italeta shida hapo mbeleni maana nuru na giza havichangamani sasa sio wewe form 4 B unaoa mwanamke ana shahada ya kwanza kuna mambo atafanya utahisi anakudharau na kupelekea migogoro ndani ya ndoa yako.
Tabia ya mke ni tabia ya mamake kwa kiasi kikubwa chunguza jinsi mamake anavyoishi na mmewe kama ndoa yao ina furaha basi ujue na yako itakuwa ya furaha.
Epukeni wanawake wanaowalazimisha kuolewa maana huwa na lao jambo na sio wazuri wakishaolewa.
Ndio maana nikakupa anagalizo maana unaweza anza vizuri mambo yakaja badilika mbele huko!!!!!Nilimaanisha kwa wale wanaotarajia kuoa sasa kwa waliooana hilo ni jambo jingine lakini kwa wanawake kizazi hata kama mmeoana lazima utaona mabadiliko.
Nilimaanisha kwa wale wanaotarajia kuoa sasa kwa waliooana hilo ni jambo jingine lakini kwa wanawake kizazi hata kama mmeoana lazima utaona mabadiliko.
Yote nadharia hasi hiyo!!!!
Hivi ukiwa na mchumba toka say chuo ukamuoa ye akaajiriwa na wewe ukaajiriwa halafu akapata short course na nafasi yenye kumpa say safari nyingi na hata za nje thus akapata kipato zaid yako wakampa usafiri.
Mka apply masters yeye akapata pesa kutoka ofisini kwao fasta we muajiri akakuambia utaenda next year sababu watu wengi wako masomoni hivyo fund hamna this year!!!!
Mwaka umefika na fund ipo unakosa nafasi chuo unachokitaka,mke anamaliza na cheo na mshahara juu!!!!!!
Unamkimbia au unafanyaje????!!!!
Ndio maana nikakupa anagalizo maana unaweza anza vizuri mambo yakaja badilika mbele huko!!!!!
Hayo uliyotahadharisha yanaweza kabisa kuwa vikwazo au la ila yapo ya kuangalia kwa umakini zaid!!!!
Kaka we ni mwanzo tu ukiweka misingi ya kuheshimiana na.wewe ukachukua majukumu yako kama kiongozi kwa maneno na vitendo mbona yanaenda tu!!!!mimi dadangu yangu kwa sasa ndio kama anaendesha nyumba yao na mumewe lakini mapenzi ni kama yameongezeka amepata promotion nzuri kazini kwake lakini wako peace sana wakati mchizi yuko kwenye kipindi cha mpito kujipanga upya.
Mke wako hana kipato kikubwa kukuzidi mfano kama anaingiza elfu 1 basi mwanaume uingize elfu 2 kwa kufanya hivyo mwanamke lazima akuheshimu tena hakikisha unampa uhuru wa kutumia pesa yake bila kumuingilia.
Hakikisha unamzidi elimu au mnalingana usioe mwanamke anakuzidi elimu italeta shida hapo mbeleni maana nuru na giza havichangamani sasa sio wewe form 4 B unaoa mwanamke ana shahada ya kwanza kuna mambo atafanya utahisi anakudharau na kupelekea migogoro ndani ya ndoa yako.
Tabia ya mke ni tabia ya mamake kwa kiasi kikubwa chunguza jinsi mamake anavyoishi na mmewe kama ndoa yao ina furaha basi ujue na yako itakuwa ya furaha.
Epukeni wanawake wanaowalazimisha kuolewa maana huwa na lao jambo na sio wazuri wakishaolewa.
tatizo una urgue kama mwanamme kwa boys.