Kabla ya kuoa hakikisha

Kabla ya kuoa hakikisha

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,849
Mke wako hana kipato kikubwa kukuzidi mfano kama anaingiza elfu 1 basi mwanaume uingize elfu 2 kwa kufanya hivyo mwanamke lazima akuheshimu tena hakikisha unampa uhuru wa kutumia pesa yake bila kumuingilia.
Hakikisha unamzidi elimu au mnalingana usioe mwanamke anakuzidi elimu italeta shida hapo mbeleni maana nuru na giza havichangamani sasa sio wewe form 4 B unaoa mwanamke ana shahada ya kwanza kuna mambo atafanya utahisi anakudharau na kupelekea migogoro ndani ya ndoa yako.
Tabia ya mke ni tabia ya mamake kwa kiasi kikubwa chunguza jinsi mamake anavyoishi na mmewe kama ndoa yao ina furaha basi ujue na yako itakuwa ya furaha.
Epukeni wanawake wanaowalazimisha kuolewa maana huwa na lao jambo na sio wazuri wakishaolewa.
 
Yote nadharia hasi hiyo!!!!

Hivi ukiwa na mchumba toka say chuo ukamuoa ye akaajiriwa na wewe ukaajiriwa halafu akapata short course na nafasi yenye kumpa say safari nyingi na hata za nje thus akapata kipato zaid yako wakampa usafiri.

Mka apply masters yeye akapata pesa kutoka ofisini kwao fasta we muajiri akakuambia utaenda next year sababu watu wengi wako masomoni hivyo fund hamna this year!!!!

Mwaka umefika na fund ipo unakosa nafasi chuo unachokitaka,mke anamaliza na cheo na mshahara juu!!!!!!

Unamkimbia au unafanyaje????!!!!
 
Maisha hayana formula, unaweza muoa uliyemzidi na bado akawa pasua kichwa, nina mifano halisi kwa haya!
 
Tena bora akuzidi utasema anaringia pesa na elimu sasa kila kitu umemzidi kwa mbali halafu akizingua ndio hapo wanaume tunachanganyikiwa!!!!
 
Yote nadharia hasi hiyo!!!!

Hivi ukiwa na mchumba toka say chuo ukamuoa ye akaajiriwa na wewe ukaajiriwa halafu akapata short course na nafasi yenye kumpa say safari nyingi na hata za nje thus akapata kipato zaid yako wakampa usafiri.

Mka apply masters yeye akapata pesa kutoka ofisini kwao fasta we muajiri akakuambia utaenda next year sababu watu wengi wako masomoni hivyo fund hamna this year!!!!

Mwaka umefika na fund ipo unakosa nafasi chuo unachokitaka,mke anamaliza na cheo na mshahara juu!!!!!!

Unamkimbia au unafanyaje????!!!!

Nilimaanisha kwa wale wanaotarajia kuoa sasa kwa waliooana hilo ni jambo jingine lakini kwa wanawake kizazi hata kama mmeoana lazima utaona mabadiliko.
 
kuna watu humu ni wavivu wa kufikiri, hivi na wanaume ambao wake zao ni marais wa nchi wawakimbie wake zao? unajuwa kama Angel Markel wa Germany ni lazima ampikie mumewe kabla ya kwenda ofisi?

John mnyika kimsingi ni form six je atababaishwa na mwanamke mwenye masters? you can't change the nature mwanaume ndio kichwa ndani ya nyumba full stop.

inferiority complex zitawauwa bure msiwaogope wanawake hawa ni wasaidizi wetu by nature.
 
Mke wako hana kipato kikubwa kukuzidi mfano kama anaingiza elfu 1 basi mwanaume uingize elfu 2 kwa kufanya hivyo mwanamke lazima akuheshimu tena hakikisha unampa uhuru wa kutumia pesa yake bila kumuingilia.
Hakikisha unamzidi elimu au mnalingana usioe mwanamke anakuzidi elimu italeta shida hapo mbeleni maana nuru na giza havichangamani sasa sio wewe form 4 B unaoa mwanamke ana shahada ya kwanza kuna mambo atafanya utahisi anakudharau na kupelekea migogoro ndani ya ndoa yako.
Tabia ya mke ni tabia ya mamake kwa kiasi kikubwa chunguza jinsi mamake anavyoishi na mmewe kama ndoa yao ina furaha basi ujue na yako itakuwa ya furaha.
Epukeni wanawake wanaowalazimisha kuolewa maana huwa na lao jambo na sio wazuri wakishaolewa.
Ndoa siyo rahisi kama uifikiriavyo! Na factors zinazom-control mwanamke flan usidhani zipo applicable kwa wanawake wote!
 
Nilimaanisha kwa wale wanaotarajia kuoa sasa kwa waliooana hilo ni jambo jingine lakini kwa wanawake kizazi hata kama mmeoana lazima utaona mabadiliko.
Ndio maana nikakupa anagalizo maana unaweza anza vizuri mambo yakaja badilika mbele huko!!!!!
Hayo uliyotahadharisha yanaweza kabisa kuwa vikwazo au la ila yapo ya kuangalia kwa umakini zaid!!!!
 
hakuna lolote ujinga mtupu, yani mimi nimuogope Lara 1 kwa sababu ana masters na mimi sina masters? hizi ni akili za kale kabisa, maisha ni principles tu.
 
tatizo una urgue kama mwanamme kwa boys.

Yote nadharia hasi hiyo!!!!

Hivi ukiwa na mchumba toka say chuo ukamuoa ye akaajiriwa na wewe ukaajiriwa halafu akapata short course na nafasi yenye kumpa say safari nyingi na hata za nje thus akapata kipato zaid yako wakampa usafiri.

Mka apply masters yeye akapata pesa kutoka ofisini kwao fasta we muajiri akakuambia utaenda next year sababu watu wengi wako masomoni hivyo fund hamna this year!!!!

Mwaka umefika na fund ipo unakosa nafasi chuo unachokitaka,mke anamaliza na cheo na mshahara juu!!!!!!

Unamkimbia au unafanyaje????!!!!
 
Ndio maana nikakupa anagalizo maana unaweza anza vizuri mambo yakaja badilika mbele huko!!!!!
Hayo uliyotahadharisha yanaweza kabisa kuwa vikwazo au la ila yapo ya kuangalia kwa umakini zaid!!!!

mimi dadangu yangu kwa sasa ndio kama anaendesha nyumba yao na mumewe lakini mapenzi ni kama yameongezeka amepata promotion nzuri kazini kwake lakini wako peace sana wakati mchizi yuko kwenye kipindi cha mpito kujipanga upya.
 
Kaka we ni mwanzo tu ukiweka misingi ya kuheshimiana na.wewe ukachukua majukumu yako kama kiongozi kwa maneno na vitendo mbona yanaenda tu!!!!
 
Mke wako hana kipato kikubwa kukuzidi mfano kama anaingiza elfu 1 basi mwanaume uingize elfu 2 kwa kufanya hivyo mwanamke lazima akuheshimu tena hakikisha unampa uhuru wa kutumia pesa yake bila kumuingilia.
Hakikisha unamzidi elimu au mnalingana usioe mwanamke anakuzidi elimu italeta shida hapo mbeleni maana nuru na giza havichangamani sasa sio wewe form 4 B unaoa mwanamke ana shahada ya kwanza kuna mambo atafanya utahisi anakudharau na kupelekea migogoro ndani ya ndoa yako.
Tabia ya mke ni tabia ya mamake kwa kiasi kikubwa chunguza jinsi mamake anavyoishi na mmewe kama ndoa yao ina furaha basi ujue na yako itakuwa ya furaha.
Epukeni wanawake wanaowalazimisha kuolewa maana huwa na lao jambo na sio wazuri wakishaolewa.

Inategemea mtu na mtu
 
Molembe acha kujidharau. Hizo ni inferiority complex. Badili fikra zako kuhusu wanawake wenye uwezo kimaisha, elimu na madaraka. Ndoa ni maelewano ndani ya nyumba. Kama wanaume tunavyowahitaji wanawake, nao wanatuhitaji, tusiwaogope kwa status zao.
 
Last edited by a moderator:
Mke wako hana kipato kikubwa kukuzidi mfano kama anaingiza elfu 1 basi mwanaume uingize elfu 2 kwa kufanya hivyo mwanamke lazima akuheshimu tena hakikisha unampa uhuru wa kutumia pesa yake bila kumuingilia.
Hakikisha unamzidi elimu au mnalingana usioe mwanamke anakuzidi elimu italeta shida hapo mbeleni maana nuru na giza havichangamani sasa sio wewe form 4 B unaoa mwanamke ana shahada ya kwanza kuna mambo atafanya utahisi anakudharau na kupelekea migogoro ndani ya ndoa yako.
Tabia ya mke ni tabia ya mamake kwa kiasi kikubwa chunguza jinsi mamake anavyoishi na mmewe kama ndoa yao ina furaha basi ujue na yako itakuwa ya furaha.
Epukeni wanawake wanaowalazimisha kuolewa maana huwa na lao jambo na sio wazuri wakishaolewa.

Hivi kama kwao wanaishi vizuri ni kipimo kwamba hata mtoto akiolewa atakuoa kama mama yake??
 
Yote nadharia hasi hiyo!!!!

Hivi ukiwa na mchumba toka say chuo ukamuoa ye akaajiriwa na wewe ukaajiriwa halafu akapata short course na nafasi yenye kumpa say safari nyingi na hata za nje thus akapata kipato zaid yako wakampa usafiri.

Mka apply masters yeye akapata pesa kutoka ofisini kwao fasta we muajiri akakuambia utaenda next year sababu watu wengi wako masomoni hivyo fund hamna this year!!!!

Mwaka umefika na fund ipo unakosa nafasi chuo unachokitaka,mke anamaliza na cheo na mshahara juu!!!!!!

Unamkimbia au unafanyaje????!!!!

sio mke huyo blaza!
mkimbie fasta
hafai kwa matumizi ya binadamu!
lol!
 
Back
Top Bottom