Kabla ya kuoa hakikisha kwanza umekuwa "Mwanaume"

Naomba utambue kwamba mwanaume ukiwa na pesa huwezi kuwa na mambo ya ajabu kama kuwa na hasira, roho ya chuki, kufuatilia mambo ya watu n.k. Mambo uliyoyataja hapo ni mambo ya watu masikini/mwanaume jaribu kuangalia hata ktk jamii inayokuzunguka.

Tafuteni pesa wadau utajikuta unakuwa mtu mwenye hekima na busara sana.
Endelea kutafuta pesa tu kuisi ndyo zitakuongozea mkeo utaacha utaowa na utaachwa
 
Mke:Mme wangu, hivi BMW na Toyota tofauti ni nn?

Mwanaume A: Maelezo meeengi, engine, gascate valve, cc sijui exhaust n. K

Mwanaume B: Si unaendesha Toyota? Haya next month ntakuagizia BMW, hilo ntaliuza. Utaijua hiyo tofauti kati ya Toyota na Bmw.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom