Ewe mwanaume, hakikisha unafanya yafuatayo baada ya kuoa

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
1. Futa namba za ma-ex wako wote

2. Hata kama umechoka ni marufuku kumnyima mke wako dudu

3. Unatakiwa umsikilize kwanza mke wako kabla ya watu wengine

4. Hata ule chakula nje umeshiba ukifika nyumbani lazima ule

5. Ni bora mama wa mke wako aje kuishi hapo kuliko kumruhusu mama yako aje kukaa hapo

6. Waheshimu marafiki wa kiume wa mke wako ndio mashemeji zako

7. Marufuku kumkatalia mke wako anachotaka pambana utimizie mahitaji yake

8. Mkeo akikukataza kitu hataki watu fulani msikilize ana hoja

9. Mkeo akikupangia namna ya kutumia pesa zenu msikilize

10. Ukirudi home jioni unamkabidhi simu yako mkeo

," Alisikika mdau mmoja wa Twitter akizungumza".
 
Mkuu hizi ni taratibu za mwanaume asiye na hela anapooa. Na pengine mke amechangia kiasi katika mahari aliyotoa mume.
 
Umecopy kila kitu mtandao wa X kwenye akaunti ya yule mdada.

Masikitiko umecopy na kupaste upumbavu
Aliyekwambia yule ni mdada ni nani? Una ushahidi upi? Je kama yule ni mimi!

Masitiko jaman, One man down! We need a back up

Kwa hiyo IDs za kike humu JF huwa unaamini kuwa ni wanawake halisi?

Kaumbuka jamani, aibu yake na wanae
(Mimi ndo huyo mdada niliyemkopi)
 
Sawa ila haibadilishi kitu kua umeandika UPUMBAVU.
 
1. Futa namba za ma-ex wako wote

2. Hata kama umechoka ni marufuku kumnyima mke wako dudu

3. Unatakiwa umsikilize kwanza mke wako kabla ya watu wengine

4. Hata ule chakula nje umeshiba ukifika nyumbani lazima ule

5. Ni bora mama wa mke wako aje kuishi hapo kuliko kumruhusu mama yako aje kukaa hapo

6. Waheshimu marafiki wa kiume wa mke wako ndio mashemeji zako

7. Marufuku kumkatalia mke wako anachotaka pambana utimizie mahitaji yake

8. Mkeo akikukataza kitu hataki watu fulani msikilize ana hoja

9. Mkeo akikupangia namna ya kutumia pesa zenu msikilize

10. Ukirudi home jioni unamkabidhi simu yako mkeo

," Alisikika mdau mmoja wa Twitter akizungumza".
Nini maana ya kuoa sasa!?
 
Sawa ila haibadilishi kitu kua umeandika UPUMBAVU.
Mkuu, ndege wafananao huruka pamoja. Ninachomaanisha wana MMU walioreply wamekuwa sambamba nami, na wanashusha nondo za maana. Wewe tu ndo uko against. Hukishtukii hata?

Maskini! Ila sikulaumu sana, nailaumu TANESCO maake imekuwa chanzo cha matatizo haya yote kwa watanzania. Kwa kifupi, umevamia jukwaa. Labda fanya ujaribu kupita kwenye hii siredi ya siasa, huenda ukakutana na watu wa kwendana nao Paza sauti, taja taasisi za umma/serikali ambazo zinapaswa kufutwa, kubinafsishwa au kuunganishwa. Jana serikali imethubutu, lakini bado uchafu upo

Leo kidudumtu kinamshusha hadhi the storyteller wa JF aka Nyuki wa Twitter mwenye follows wake 125k, nyomi la watu insta, web yenye wasomaji 1m, YouTube Channel yenye sub 900k, nyumba ya vyumba vinne na private motorbic. Pole sana mkuu

Umesali kwanza leo?
 
Kuna wanaume wanakomaa hapa ila ukiwakuta kwenye 18 za wake zao huwezi amini.
 
Ndoa ni taasisi lakini wengi hawapo tayari kuitumikia ndio tatizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom