Kabla ya kumrarua Lissu, tumwambie Rais Magufuli ukweli

Ungetumia katiba pia kumkosoa unapoona anakosea ukavirusha hapa vipengele na hayo unayomtuhumu tusome. Si unataka tukuelewe haya edit post yako, shusha nondo.

Tundu Lissu kawaona hamna msaada kwake na chama chenu eeeeh
Doto Dotto hazina kuzuri
 
Hata Bwana Yesu alianza peke yake ndipo wakafuata mitume n.a. manabii. Nyerere Mandela Fidel Che Lenin walianza kujenga twasira akilini mwao kwanza ndipo wakalipeleka wazo kwa jamii n.a. jamii ikawaelewa. Magu anaelewa hiyo theory ndiyo maana anawakabili wapinzani jamii isije waelewa but I tell him it's too late. Kuwaelemisha ninyi wa lumumba ni aaw

Sent using Jamii Forums mobile app

I like your comment
 
Nimetumbuliwa na nani kaka yangu? nipo hapa Peoria USA nasoma na sijawahi kufanya kazi kwenye hiyo serikali ya mihemko isiyofata sheria..ni bora ni olewe huku huku kuliko kurudi nchini na kuona nchi yetu inaendeshwa kiolela hivyo, tumezoea kuona marais wakikosolewa hadharani la sivyo tungemuona Trump akipanda kwenye vichwa wa watu, lakini kwa sababu nchi ni ya kidemokrasia anakosolewa hadharani, tena hata wajumbe wa seneti kutoka chama chake wanampinga waziwazi
Nitakutafuta nikuage kabla cjarud kuteseka bongo. Pia nipo mitaa hii hii lakn nakaribia kurud om kwa wababe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wala katiba ya nchi hujui. hujatoa hata kifungu kimoja cha katiba alichovunja rais. bora ungelalama katiba inampa rais madaraka makubwa sana kama mnavyolalamaga nyie watu. faida ya madaraka makubwa ya rais hata hivyo ndio wananchi wanaona sasa kwa jinsi jpm anavyoyatumia kuwadhibiti wapinga maendeleo
 
imeandikwa ` na mtaifahamu kweli, nayo kweli itawaweka huru' wala haikuandikwa `mtaufahamu uropokaji nao uropojaji utawaweka huru' mbona unashindwa kuelewa mambo madogo madogo kama haya brother.
 
Ushauri wangu kwenu tusilie sana Tuyahifadhi machozi yetu kwa huyu yupo mpaka 2025. Tusije fika wakati huo tukiwa tumechoka na machozi hatoki tena sababu ya Julia kwa miaka kumi. Tutumie muda huu kuandaa wa kutusaidia Julia wakati ukifika. Tujufunze kwa makosa, mwaka 2014 tuliutumia kkumchamba JK. tukajisahau Koandaa mtu wetu imara, tusijue kuwa 2015 si JK tutakaye pambana nae anakuja mwingine. Chonde huyu hatoki, miaka kumi ni mingi tutachoka mapema na ndio lengo kama sio ninyi viongozi basis waoneeni huruma wafuasi wenu wasije kata tamaa kwa matumaini hewa. Nawambia *AMESHAROGA* huyu HATOKI mpaka vipindi vyake viwili VIISHE Jengeni Vyama na mikakati ya 2025
wapiga dili na vibepari uchwara bora muanzishe vyama vyenu. halafu mridhike kuwepo upinzani maana hoja za nyie kutawala hazipo. mkishika madaraka sera zenu ni kuwafukarisha umma na watz nyerere aliwafunza kukataa kunnyonywa na kukataa ubwanyenye.
 
kw

hapo ni vile uonavyo wewe, naamini si sahihi. sasa unataka siasa zifanyike kipindi chote na kazi zitafanyika mda gani na ukizingatia nchi yetu bado changa maana unaowahubiria ni raia ambao walitakiwa kuwa kwenye shughuli zao za kila siku.

udikteta upi, ukiambia fanya kazi ndo udikteta kwahiyo unataka upewe tu, yaani wewe huna tofauti na walibya na leo wanahangaika tu kwa laana waliopata.

sisi mzee anafanya mabadiliko na baadae vizazi vyetu viishi kwa amani lakini bado tunaona hafanyi kazi, upendeleo wowote unaweza tokea so long as kazi inafanyika kwa Taifa basi safi kabisa, tumeona zamani labda kulikuwa hakuna ukanda lakini kulikuwa na urafiki, sioni kama ni kweli kwa lolote.
Mwenye macho haambiwi tazama..ndg kama huoni huelewi hakuna mtu anaweza kutibu huo ugonjwa. Hatutegemei aliyenyweshwa maji ya kijani au anaeishi mitaa ile ya kanda inayochanua miaka hii kuona wal kuelewa! But mind you this wont be business as usual..hili tabaka la chuki liloanza kujengeka baina ya vyama vya siasa hata shughuli za kijamii hawashirikian tena..huu mpasuko wa kikanda unaoendelea ss hv..haya malamishi ya dini yanayoshika kazi zis tym yakinyamzaziwa yaendelee..mind u hata ww unaejifanya huna macho iko siku macho yatakushtaki. Hatuombee ifike huko lakini hata mkuyu ulianza kama mchicha. Namkubal huyu dada aliyesema anatamani kuolewa S.A ili asiikute hio harufu inayoendelea huko bongo. Bahati mm ni kidume lazima nirud hom lakn ningekua demu ningekamata mtu huku huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo siku mtu akitaka kuoa ataulizwa ni wa CCM au CDM, tena nioavyo hali hiyo haiko mbali. Tuwaombe viongozi wajenge umoja. Ili kuimarisha umoja Mwl Nyerere alianzisha Mwenge na matembezi ya mshikamano

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahhahahaha kutokana na ule upupu wa Mchungaji aliyeongoza Mazishi ya Mke wa Mwakyembe kuna siku atasema umapenda JPM au lah!

Na hapo ndipo either ndoa itafungwa au utaambiwa toka
 
Hadi sasa JPM kafanya kazi nzuri sana. Mfumuko wa bei sasa upo at lowest leval ever. Bei ya unga, mchele, maharage, mafuta, gesi etc vimeshuka kwa kiwango kikubwa. Mafisadi wanaisoma. Wizi serikalini umedhibitiwa kwa kiwango kikubwa. Hatuwezi waamini wapinzani na hasa CDM, leo wanasema hili, kesho kinyume chake. Inchi huwezi kupewa kwa kudanganya watu eti tu kwa sababu unajua chonga maneno. JPM wadhibiti hawa na wananchi tunakupenda. Songa mbele na tupo nyuma yako. Anae leta fyokofokyo mkamue hadi ajinyee.
 
kw

hapo ni vile uonavyo wewe, naamini si sahihi. sasa unataka siasa zifanyike kipindi chote na kazi zitafanyika mda gani na ukizingatia nchi yetu bado changa maana unaowahubiria ni raia ambao walitakiwa kuwa kwenye shughuli zao za kila siku.

udikteta upi, ukiambia fanya kazi ndo udikteta kwahiyo unataka upewe tu, yaani wewe huna tofauti na walibya na leo wanahangaika tu kwa laana waliopata.

sisi mzee anafanya mabadiliko na baadae vizazi vyetu viishi kwa amani lakini bado tunaona hafanyi kazi, upendeleo wowote unaweza tokea so long as kazi inafanyika kwa Taifa basi safi kabisa, tumeona zamani labda kulikuwa hakuna ukanda lakini kulikuwa na urafiki, sioni kama ni kweli kwa lolote.

Unaongea nini ww? Umewahi kumuona mpinzani akifanya mkutano akalazimisha watu kuacha kazi zao kwenda kumsikikiza? Labda viongozi wa chama tawala ndio huwa wanalazimisha watu hasa watumishi kwenda kuwasikiliza ili waonekane wanakubalika.
 
Hadi sasa JPM kafanya kazi nzuri sana. Mfumuko wa bei sasa upo at lowest leval ever. Bei ya unga, mchele, maharage, mafuta, gesi etc vimeshuka kwa kiwango kikubwa. Mafisadi wanaisoma. Wizi serikalini umedhibitiwa kwa kiwango kikubwa. Hatuwezi waamini wapinzani na hasa CDM, leo wanasema hili, kesho kinyume chake. Inchi huwezi kupewa kwa kudanganya watu eti tu kwa sababu unajua chonga maneno. JPM wadhibiti hawa na wananchi tunakupenda. Songa mbele na tupo nyuma yako. Anae leta fyokofokyo mkamue hadi ajinyee.
Hivi sukari sh, ngapi
Gesi sh, ngapi
Unga sh,ngapi
 
imeandikwa ` na mtaifahamu kweli, nayo kweli itawaweka huru' wala haikuandikwa `mtaufahamu uropokaji nao uropojaji utawaweka huru' mbona unashindwa kuelewa mambo madogo madogo kama haya brother.

Mbona hueleweki? ulitaka kusema nini ebu fafanua huo uropokaji.
 
Tatizo ni kutotaka ushauri. Utafikili umeambiwa kila ushauri uukubali au uuchukue.

ruhusu maoni chanya na hasi. Chambua mpumba tupa kule.

Sasa inaonekana kuikosoa serikali ni kama kutafuta kiki mjini.
 
Sio unafiki, nchi ilikua imeyumba mpaka kuchekwa na majirani. Unakuta mtu ana cheti fake na anaiwakilisha Tz, blablaa nyingi maofisini zimetoweka. Anatengeneza neema ya kizazi kijacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona huyo mwenye cheti feki hapo Ilala Boma mmemuacha? Ama cheti feki kinawahusu baadhi ya watumishi wa umma tu?
 
Back
Top Bottom