Elections 2010 Kabla ya kufikiria ushindi,je unayajua haya?

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Takribani juma moja tu limebaki kabla ya uchaguzi mkuuTunashuhudia mambo yakizidi kupamba moto kwa kuendelea na kampeni, na gumzo kubwa ni pale Dr Slaa alipofanya mahojiano live na wapiga kura wake pale moven peak, mahojiano ambayo yaalivuta hisia za wengi kwa umahiri mkubwa aliouonyesha Dr Slaa katika kujibu hoja mbali mbali
Kama kawaida maandiko yangu yana angalia zaidi upande wa bara na hasa vyama vya CCM na CHADEMA, hivyo tathimini yangu itaegemea zaidi katika vyama hivi viwili

Nini hasa nguvu za vyama hivi zilipo,wapi ilipo mitaji yao ya kuelekea ktk kushinda uchaguzi mwaka huu kwa maana ya wingi wa kura utakao wapa wabunge wengi na kushinda urais

Kwa kuanza na CCM wanajigamba kushinda uchaguzi huu kwa kuzingatia makundi yafuatayo ambayo kwao wao ndio mtaji mkubwa kwao kulinda rekodi yao ya ushindi kila chaguzi.

WANACHAMA
CCM ianamtaji mkubwa wa wanachama ambao wao kwao CCM ni damu damu, na uzuri wa hawa wanachama takribani wote wamejiandikisha kupiga kura,
Mtandao huu kiukweli ulianza mikakati ya uchaguzi wakati wa uandikishaji wa daftari la wapiga kura kwa kuhakikisha kila mjumbe anasimamia wanachama wa eneo lake kwenda kujiandikisha, na ukaguzi wa nyumba hadi nyumba ukifanyika kuhakikisha wote wamejiandikisha kwanza.na hili linawasaidia sana hasa mijini ambapo watu wengi huwa hawajiandikishi.,

WAZEE NA WANAWAKE
Hili ni kundi lingine ambalo ni mtaji mkubwa kwa CCM
Wazee wengi kwa ujumla wao vichwani mwao bado CCM ni kila kitu, takribani maisha yao yote wamekuwa na CCM tangu TANU hadi leo, CCM ni sehemu ya maisha yao,wengine kwao ni wababaishaji tu
Wanawake wengi Tanzania hawana mwamko wa siasa kabisa, maranyingi wao ni fuata mkumbo (samahani kutumia neno hilo) maranyingi wanapiga kura kwa mazoea na pia wepesi kutishika na kurubuniwa, na kundi hili limeathiriwa sana na mtandao wa CCM kuanzia ngazi ya mjumbe wa shina na vikundi vyao.

VIJIJINI
Kama kuna kundi lenye msimamo, basi ama akika kundi hili lina msimamo, likisema no, ni no. na likisema yes ni yes.
Nikundi ambalo ukilishika basi unahakika na ndio maana hata wapinzani sehemu kubwa waliofanya vizuri ni katika kundi hili.
CCM wamefanikiwa kulishika vilivyo kundi hili kwasababu hawapati habari sahihi,upinzani ni kama uhani kwao, kutofikiwa na wapinzani na ngos kuishia mijini, mfumo wa utawala, kutofautisha chama na watendaji wa serikali, na mwisho wengi wao maisha wanayoishi wanaona kama ndio stahiki yao.

MAJIMBO YASIYO NA WAGOMEA WAPINZANI NA ZANZIBAR
Hata kabla ya uchaguzi tayari kuna majimbo CCM imeshapata ushindi kabla ya uchaguzi kuanzia ngazi ya udiwana na ubunge kwa tanzanaia bara na visiwana ambapo CHADEMA hawajatia kabisa mguu, huu ni mtaji mojawapo CCM wanautegemea ktk kusukuma ushindi wao

Makundi niliyo yataja hapo juu wengi wao ni wale ambao wao wanapiga kura kwa vigezo nilivyo vieleza bila kuangalia maswala ya uzuri wa sera au vitu vingine

Kwa upande wa CHADEMA sitakuwa na mengi sana ya kuandika sababu napata shida kidogo kupata hasa mtajiwao ukowapi, kama nitakuwa sivyo nahakika wadau mtanisawazisha

WASOMI NA WAFANYAKAZI KADA YA CHINI
Hili ni kundi ambalo CHADEMA wamefanikiwa kuli teka vilivyo,
wasomi wengi hasa wa mijini na vyuoni wamekuwa mstari wa mbele kuiunga mkono CHADEMA kutokana na sera zake zenye matumaini kwao na kwa taifa kwa ujumla.
kundi hili linaonekana kuyumbishwa kidogo kutokana na sintofahamu iliyotokea juu ya wanafunzi wa vyuo kuonekana watashindwa kupiga kura
Wafanyakazi wa kada kuanzia kati na chini na wafanyabiashara ndogo ndogo nao ni kundi lingine ambalo linaiunga sana mkono chadema na kuonekana mtaji mkubwa kwa CHADEMA na kundi hili linaonekana sana mijini

AGENDA YA UFISADI NA KASORO ZA CCM
Kimantiki huu ndio mtaji mkuu wa CHADEMA, mtaji ambao hauna kundi specific isipokuwa unatarajiwa kunyakua kura toka ktk makundi tajwa ya CCM ambayo sera kwao sio tija, tija kwao ni kupigia CCM.,
CHADEMA hawana mtandao mkubwa kama CCM wanategemea zaidi agenda hizo ili ziwa bebe kuwa shawishi wapiga kura kupata kura
Na agenda hizo pia zimetokea kuungwa mkono kwa kiasi kikubwa na NGOS mbali mbali na wanaharakati,

Sina nia ya kukatisha tamaa wapinzani,na katika siasa lolote laweza tokea na kila chama kinanafasi ya kushinda lakini kwa kuzingatia nilicho eleza hapo juu naamini hata wewe unapata picha ni chama gani kina nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi.
wingi wa watu katika kampeni sio kigezo kabisa cha kushinda kwani kila chaguzi tunaona mambo huwa hivi hivi, mwisho wa siku matokeo wote tuna yajua
Inawezekana kweli kabisa ikawa CCM haifanyi vizuri kiutawala, lakini sio kigezo cha wao kushindwa katika chaguzi na hasa kwa nchi zetu zinazo endelea, mfumo ni tofauti sana na nchi zilizo endelea.
Wito wangu kwa wanamageuzi,wanakazi kubwa sana yakufanya kuleta mageuzi zaidi ya kusimama majukwaani na kuikosoa CCM.
Ukisoma post nyingi utaona ni jinsi gani wana JF wanavyofikiria ushindi kwa upinzani ni rahisi, wao akili yao ipo katika kuibiwa kura tu, wanachoamini wao ukidhibiti wizi wa kura basi umeshinda uchaguzi.
Nahuu ndio ukweli mgumu kuukubali
Mwenye macho haambiwi tazama, let’s wait nd see

Pulss
 
Jiulize Kanu tangu uhuru walikuwa na mtaji wa wanachama wangapi? vigogo wangapi na pesa zao, miradi mingapi? pamoja na yote hayo 2002 walipigwa chini na mpaka leo kimesambaratika. Subiri tar.31.10.10 utatueleza huo mtaji wa wanachama upo wapi. Maana ya campaign ni nini? moja ni kuwashawisha wanachama wa vyama vingine vikubaliane na sera zako ambapo hadi sasa kura zitakazomwingiza Dr. Slaa Ikulu ni za wanachama wa CCM. Kwani wengine tukikosa maji jimboni kwetu wanachama wa ccm wanayapata? elimu, afya etc think from that perspective and join us on 2nd katika sherehe za kumuapisha dr.slaa. Mbona mimi ni mwanachama wa CCM lakini kura yangu hawaioni?
 
takribani juma moja tu limebaki kabla ya uchaguzi mkuutunashuhudia mambo yakizidi kupamba moto kwa kuendelea na kampeni, na gumzo kubwa ni pale dr slaa alipofanya mahojiano live na wapiga kura wake pale moven peak, mahojiano ambayo yaalivuta hisia za wengi kwa umahiri mkubwa aliouonyesha dr slaa katika kujibu hoja mbali mbali
kama kawaida maandiko yangu yana angalia zaidi upande wa bara na hasa vyama vya ccm na chadema, hivyo tathimini yangu itaegemea zaidi katika vyama hivi viwili

nini hasa nguvu za vyama hivi zilipo,wapi ilipo mitaji yao ya kuelekea ktk kushinda uchaguzi mwaka huu kwa maana ya wingi wa kura utakao wapa wabunge wengi na kushinda urais

kwa kuanza na ccm wanajigamba kushinda uchaguzi huu kwa kuzingatia makundi yafuatayo ambayo kwao wao ndio mtaji mkubwa kwao kulinda rekodi yao ya ushindi kila chaguzi.

wanachama
ccm ianamtaji mkubwa wa wanachama ambao wao kwao ccm ni damu damu, na uzuri wa hawa wanachama takribani wote wamejiandikisha kupiga kura,
mtandao huu kiukweli ulianza mikakati ya uchaguzi wakati wa uandikishaji wa daftari la wapiga kura kwa kuhakikisha kila mjumbe anasimamia wanachama wa eneo lake kwenda kujiandikisha, na ukaguzi wa nyumba hadi nyumba ukifanyika kuhakikisha wote wamejiandikisha kwanza.na hili linawasaidia sana hasa mijini ambapo watu wengi huwa hawajiandikishi.,

wazee na wanawake
hili ni kundi lingine ambalo ni mtaji mkubwa kwa ccm
wazee wengi kwa ujumla wao vichwani mwao bado ccm ni kila kitu, takribani maisha yao yote wamekuwa na ccm tangu tanu hadi leo, ccm ni sehemu ya maisha yao,wengine kwao ni wababaishaji tu
wanawake wengi tanzania hawana mwamko wa siasa kabisa, maranyingi wao ni fuata mkumbo (samahani kutumia neno hilo) maranyingi wanapiga kura kwa mazoea na pia wepesi kutishika na kurubuniwa, na kundi hili limeathiriwa sana na mtandao wa ccm kuanzia ngazi ya mjumbe wa shina na vikundi vyao.

vijijini
kama kuna kundi lenye msimamo, basi ama akika kundi hili lina msimamo, likisema no, ni no. Na likisema yes ni yes.
Nikundi ambalo ukilishika basi unahakika na ndio maana hata wapinzani sehemu kubwa waliofanya vizuri ni katika kundi hili.
Ccm wamefanikiwa kulishika vilivyo kundi hili kwasababu hawapati habari sahihi,upinzani ni kama uhani kwao, kutofikiwa na wapinzani na ngos kuishia mijini, mfumo wa utawala, kutofautisha chama na watendaji wa serikali, na mwisho wengi wao maisha wanayoishi wanaona kama ndio stahiki yao.

majimbo yasiyo na wagomea wapinzani na zanzibar
hata kabla ya uchaguzi tayari kuna majimbo ccm imeshapata ushindi kabla ya uchaguzi kuanzia ngazi ya udiwana na ubunge kwa tanzanaia bara na visiwana ambapo chadema hawajatia kabisa mguu, huu ni mtaji mojawapo ccm wanautegemea ktk kusukuma ushindi wao

makundi niliyo yataja hapo juu wengi wao ni wale ambao wao wanapiga kura kwa vigezo nilivyo vieleza bila kuangalia maswala ya uzuri wa sera au vitu vingine

kwa upande wa chadema sitakuwa na mengi sana ya kuandika sababu napata shida kidogo kupata hasa mtajiwao ukowapi, kama nitakuwa sivyo nahakika wadau mtanisawazisha

wasomi na wafanyakazi kada ya chini
hili ni kundi ambalo chadema wamefanikiwa kuli teka vilivyo,
wasomi wengi hasa wa mijini na vyuoni wamekuwa mstari wa mbele kuiunga mkono chadema kutokana na sera zake zenye matumaini kwao na kwa taifa kwa ujumla.
Kundi hili linaonekana kuyumbishwa kidogo kutokana na sintofahamu iliyotokea juu ya wanafunzi wa vyuo kuonekana watashindwa kupiga kura
wafanyakazi wa kada kuanzia kati na chini na wafanyabiashara ndogo ndogo nao ni kundi lingine ambalo linaiunga sana mkono chadema na kuonekana mtaji mkubwa kwa chadema na kundi hili linaonekana sana mijini

agenda ya ufisadi na kasoro za ccm
kimantiki huu ndio mtaji mkuu wa chadema, mtaji ambao hauna kundi specific isipokuwa unatarajiwa kunyakua kura toka ktk makundi tajwa ya ccm ambayo sera kwao sio tija, tija kwao ni kupigia ccm.,
chadema hawana mtandao mkubwa kama ccm wanategemea zaidi agenda hizo ili ziwa bebe kuwa shawishi wapiga kura kupata kura
na agenda hizo pia zimetokea kuungwa mkono kwa kiasi kikubwa na ngos mbali mbali na wanaharakati,

sina nia ya kukatisha tamaa wapinzani,na katika siasa lolote laweza tokea na kila chama kinanafasi ya kushinda lakini kwa kuzingatia nilicho eleza hapo juu naamini hata wewe unapata picha ni chama gani kina nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi.
Wingi wa watu katika kampeni sio kigezo kabisa cha kushinda kwani kila chaguzi tunaona mambo huwa hivi hivi, mwisho wa siku matokeo wote tuna yajua
inawezekana kweli kabisa ikawa ccm haifanyi vizuri kiutawala, lakini sio kigezo cha wao kushindwa katika chaguzi na hasa kwa nchi zetu zinazo endelea, mfumo ni tofauti sana na nchi zilizo endelea.
Wito wangu kwa wanamageuzi,wanakazi kubwa sana yakufanya kuleta mageuzi zaidi ya kusimama majukwaani na kuikosoa ccm.
Ukisoma post nyingi utaona ni jinsi gani wana jf wanavyofikiria ushindi kwa upinzani ni rahisi, wao akili yao ipo katika kuibiwa kura tu, wanachoamini wao ukidhibiti wizi wa kura basi umeshinda uchaguzi.
nahuu ndio ukweli mgumu kuukubali
mwenye macho haambiwi tazama, let’s wait nd see

pulss

kaka salama? Naunga hoja yako asilimia 98.8, nadhani chadema wanajisahau kuwa oya oya nyingi sio wingi wa kura.
 
Mitaji hukopwa!! Kama sisiem wana mtaji na hawana uwezo wa kuutumia usishangae wanahisa wa sisiem haohao wakaamua akopeshwe chadema sasa kwa sababu wanaamini anasecurity ya kutosha kukukopa na kuzalisha kwa faida! Usihadaike na mtaji mkuu chadema wanaweza kabisa kukopa kwenye mtaji wa sisiem ila tu wakidhi haja na matakwa ya wakopeshaji!
Mkuu naona unakaribia kuvuka mstari mda sio mrefu rev. Masa na mwafrika watakukabidhi kitengo chao cha propaganda maana unaanza kuvuka mstaari taaaratibu!
 
Safari hihi hatuchagui Chama tunachagua Mtu. Hakuna kutuletea hoja ya kuwa na wanachama wengi hapa. Kwa Chadema ushindi ni lazima mwaka huu. Kila dalili zinaonesha kuwa Chadema ni kidedea mwaka huu. Ni vigumu kwa wanaCCM kulikubali hili Ndio maana wanakuja na hoja za wanachama wengi.Mwaka huu hata wagombea wa ubunge na udiwani kupitia CCM hawatamchagua JK. Mimi mwenyewe ni mwanaCCM lakini kura yangu ipo Kwa Dr.Slaa. Prof Lwaitama ni mwanaCCM (Mfu) lakini kura yake haiendi CCM.
 
kaka salama? Naunga hoja yako asilimia 98.8, nadhani chadema wanajisahau kuwa oya oya nyingi sio wingi wa kura.

Yetu macho na masikio tusubiri tuone na tusikie itakuwaje. Ni vema mwandishi alikumbuka kuwa CHADEMA inaungwa mkono pia na NGOs! Hapa kumbukeni kuwa kama NGOs zitakuwa kweli upande wa Dr. Slaa basi mambo ni magumu sana maana NGOs zina mtandao mpana sana na zinafanyakazi mpaka kule mashinani hivyo itakuwa kazi kweli kweli!! Uwezekano pia wa kuchukua kura kwenye hayo makundi ya CCM uliyoyataja ni mkubwa maana sasa hivi wa-TZ wa leo siyo sawa na wale wa juzi na jana hawa ni wengine kabisa na watashangaza wengi mwaka huu. Tulishaona vyama vilivyoanguka uchaguzi pamoja na kuwa na wanachama wengi, mtandao mpaka vijijini lakini vilipigwa mweleka!!!!
 
Hivi paulss unaposema CCM ina mtaji wa wanachama wengi umenihesabu na mimi, maana mimi bado ni mwanachama hai wa CCM tena nalipia kadi lakini uchaguzi wa mwaka huu hatuchagui chama tunachagua mtu kura yangu ni kwa Slaa definitely, naona mawazo yako ni ya kabla ya 2000 na si ya leo 2010.
 
Hoja hizo za mtaji zilikuwa huko nyuma. Kwa sasa mambo yamebadilika sana. Hata hao wanawake unaowaita hawana mwamko kwenye upinzani n ZAMA ZA KALE. Subiri October 31 utona hakuna mtaji wa maana CCM. Kwa taarifa yako ndani ya CCM kuna makundi makubwa mno ndo maana safari hii Kampeni zimekuwa za kifamilia. Huwezi kujiuliza kwa nini? Unafikiri nini kitatokea kama familia hii ambayo haina cha kupoteza itapata nafasi ya kuongoza nchi hii. Hata wewe kama unaipenda nchi hii basi kampigie kura yako DR SLAA maana ndo tumaini na ukombozi wa watanzania.
 
Hakuna cha mtaji wala nini!!!

Nitashangaa sana watanzania watakaompigia kura JK wakati maisha yao ni duni sana..

Maendeleo ya Tanzania yataletwa na Watanzania wenyewe wakiwa na serikali Mkini
 
Jiulize Kanu tangu uhuru walikuwa na mtaji wa wanachama wangapi? vigogo wangapi na pesa zao, miradi mingapi? pamoja na yote hayo 2002 walipigwa chini na mpaka leo kimesambaratika. Subiri tar.31.10.10 utatueleza huo mtaji wa wanachama upo wapi. Maana ya campaign ni nini? moja ni kuwashawisha wanachama wa vyama vingine vikubaliane na sera zako ambapo hadi sasa kura zitakazomwingiza Dr. Slaa Ikulu ni za wanachama wa CCM. Kwani wengine tukikosa maji jimboni kwetu wanachama wa ccm wanayapata? elimu, afya etc think from that perspective and join us on 2nd katika sherehe za kumuapisha dr.slaa. Mbona mimi ni mwanachama wa CCM lakini kura yangu hawaioni?
Mkuu utafanya makosa sana kuanza kujilinganisha na siasa za watu wengine, Kenya ni kenya mkuu na Tz ni Tz na siasa zetu hazifanani kabisa na zao, usipende kujipa matumaini kabisa kwa hatua alizo kanyaga mwenzio zinaweza kuwa tofauti kabisa na zako,
wewe unaweza kuwa na kadi lakini wanachama wenyewe wanajuana

Safari hihi hatuchagui Chama tunachagua Mtu. Hakuna kutuletea hoja ya kuwa na wanachama wengi hapa. Kwa Chadema ushindi ni lazima mwaka huu. Kila dalili zinaonesha kuwa Chadema ni kidedea mwaka huu. Ni vigumu kwa wanaCCM kulikubali hili Ndio maana wanakuja na hoja za wanachama wengi.Mwaka huu hata wagombea wa ubunge na udiwani kupitia CCM hawatamchagua JK. Mimi mwenyewe ni mwanaCCM lakini kura yangu ipo Kwa Dr.Slaa. Prof Lwaitama ni mwanaCCM (Mfu) lakini kura yake haiendi CCM.
Mkuu ni dalili zipi zinazo kuonyesha ushindi mwaka huu ni lazima?, nakubaliana na wewe mwaka huu mwamko umeongezeka zaidi, lakini sioni hicho unacho kizania ambacho hakikuwepo kwa Mrema 95,na Mbowe 2005 na matokeo unayajua

Hivi paulss unaposema CCM ina mtaji wa wanachama wengi umenihesabu na mimi, maana mimi bado ni mwanachama hai wa CCM tena nalipia kadi lakini uchaguzi wa mwaka huu hatuchagui chama tunachagua mtu kura yangu ni kwa Slaa definitely, naona mawazo yako ni ya kabla ya 2000 na si ya leo 2010.
Quinine heshima mbele mkuu, mbona wote mnataja wanachama tu, hayo makundi mengine hamyaoni, hili ni moja tu ya mtaji wao wa uhakika.
Mkuu nakuhakikishia nilichoandika hapo juu ndicho kilichopo na wewe unajua hivyo, isipokuwa najua sana unapenda mabadiliko lakini nuvigumu pia kuukataa ukweli huu
 
Hakuna cha mtaji wala nini!!!

Nitashangaa sana watanzania watakaompigia kura JK wakati maisha yao ni duni sana..
Mkuu nahakika ukiisoma vizuri post yangu utaelewa kwanini wataipigia CCM na kuipa ushindi, wala usiisome kwa kudhani ni sehemu ya kampeni bali tafakari kila kundi kwa CHADEMA na kwa CCM utapata picha
 
Mkuu Paulss,

Mtaji mwingine wa Chadema na upinzani kwa jumla ni Kikwete mwenyewe. Pale alipozungumzia yuko tayari kupoteza kura za wafanyakazi, naamini alipoteza wapiga kura kadhaa, let alone kwenda kuwapigia kampeni Mramba, Lowassa, Chenge na RA.
 
Quinine heshima mbele mkuu, mbona wote mnataja wanachama tu, hayo makundi mengine hamyaoni, hili ni moja tu ya mtaji wao wa uhakika.
Mkuu nakuhakikishia nilichoandika hapo juu ndicho kilichopo na wewe unajua hivyo, isipokuwa najua sana unapenda mabadiliko lakini nuvigumu pia kuukataa ukweli huu
Kama nilivyosema awali tafsiri yako ni ya miaka 10 iliyopita unashindwa kuelewa mwaka huu ni tofauti kabisa, unasahau kuwa kuna vijana waliozaliwa 1990 hawajawahi kupiga kura na wako wengi tunaambiwa karibu nusu ya wapiga kura ni vijana, kuna wana CCM kama mimi ninayefuatana na mgombea wa CCM, kuna wazazi wangu ambao unasema ndiyo tegemeo la CCM nikikueleza msimamo wao wa mwaka 2005 ni tofauti kabisa na leo.

Kitu kingine ambacho unakisahau au umeamua kukificha ni CCM ya 2000-2005 si CCM ya leo it is not the same it is divided. Kampeni za mwaka 2000 na 2005 zilifanywa na CCM na wote ni mashahidi tuliona viongozi walivyokuwa kila pembe ya Tanzania tofauti na mwaka huu ambapo kampeni zinafanywa kifamilia.

But kama unataka kuendelea kujiridhisha endelea.
 
hata wewe yaashiria ni mwanachama mfu wa ccm lakini asili yako ya uoga wa kutamka hadharani ndio inakuponza, jikaze kisabuni ndugu! CHADEMA fimbo yao!!!!!!
 
Mkuu Paulss,

Mtaji mwingine wa Chadema na upinzani kwa jumla ni Kikwete mwenyewe. Pale alipozungumzia yuko tayari kupoteza kura za wafanyakazi, naamini alipoteza wapiga kura kadhaa, let alone kwenda kuwapigia kampeni Mramba, Lowassa, Chenge na RA.
Mzawa Halisi najua hilo la wafanyakazi wa kada ya kati na chini ni moja ya waungaji mkono wazuri wa CHADEMA
 
we sijui pus sijui kitu gani, unatiwa....i mean unatia bei gani za walipa kodi mfukoni mwako?...bata mtam laki mchafu na anakula uchafu....need i say more?
 
Takribani juma moja tu limebaki kabla ya uchaguzi mkuuTunashuhudia mambo yakizidi kupamba moto kwa kuendelea na kampeni, na gumzo kubwa ni pale Dr Slaa alipofanya mahojiano live na wapiga kura wake pale moven peak, mahojiano ambayo yaalivuta hisia za wengi kwa umahiri mkubwa aliouonyesha Dr Slaa katika kujibu hoja mbali mbali
Kama kawaida maandiko yangu yana angalia zaidi upande wa bara na hasa vyama vya CCM na CHADEMA, hivyo tathimini yangu itaegemea zaidi katika vyama hivi viwili

Nini hasa nguvu za vyama hivi zilipo,wapi ilipo mitaji yao ya kuelekea ktk kushinda uchaguzi mwaka huu kwa maana ya wingi wa kura utakao wapa wabunge wengi na kushinda urais

Kwa kuanza na CCM wanajigamba kushinda uchaguzi huu kwa kuzingatia makundi yafuatayo ambayo kwao wao ndio mtaji mkubwa kwao kulinda rekodi yao ya ushindi kila chaguzi.

WANACHAMA
CCM ianamtaji mkubwa wa wanachama ambao wao kwao CCM ni damu damu, na uzuri wa hawa wanachama takribani wote wamejiandikisha kupiga kura,
Mtandao huu kiukweli ulianza mikakati ya uchaguzi wakati wa uandikishaji wa daftari la wapiga kura kwa kuhakikisha kila mjumbe anasimamia wanachama wa eneo lake kwenda kujiandikisha, na ukaguzi wa nyumba hadi nyumba ukifanyika kuhakikisha wote wamejiandikisha kwanza.na hili linawasaidia sana hasa mijini ambapo watu wengi huwa hawajiandikishi.,

WAZEE NA WANAWAKE
Hili ni kundi lingine ambalo ni mtaji mkubwa kwa CCM
Wazee wengi kwa ujumla wao vichwani mwao bado CCM ni kila kitu, takribani maisha yao yote wamekuwa na CCM tangu TANU hadi leo, CCM ni sehemu ya maisha yao,wengine kwao ni wababaishaji tu
Wanawake wengi Tanzania hawana mwamko wa siasa kabisa, maranyingi wao ni fuata mkumbo (samahani kutumia neno hilo) maranyingi wanapiga kura kwa mazoea na pia wepesi kutishika na kurubuniwa, na kundi hili limeathiriwa sana na mtandao wa CCM kuanzia ngazi ya mjumbe wa shina na vikundi vyao.

VIJIJINI
Kama kuna kundi lenye msimamo, basi ama akika kundi hili lina msimamo, likisema no, ni no. na likisema yes ni yes.
Nikundi ambalo ukilishika basi unahakika na ndio maana hata wapinzani sehemu kubwa waliofanya vizuri ni katika kundi hili.
CCM wamefanikiwa kulishika vilivyo kundi hili kwasababu hawapati habari sahihi,upinzani ni kama uhani kwao, kutofikiwa na wapinzani na ngos kuishia mijini, mfumo wa utawala, kutofautisha chama na watendaji wa serikali, na mwisho wengi wao maisha wanayoishi wanaona kama ndio stahiki yao.

MAJIMBO YASIYO NA WAGOMEA WAPINZANI NA ZANZIBAR
Hata kabla ya uchaguzi tayari kuna majimbo CCM imeshapata ushindi kabla ya uchaguzi kuanzia ngazi ya udiwana na ubunge kwa tanzanaia bara na visiwana ambapo CHADEMA hawajatia kabisa mguu, huu ni mtaji mojawapo CCM wanautegemea ktk kusukuma ushindi wao

Makundi niliyo yataja hapo juu wengi wao ni wale ambao wao wanapiga kura kwa vigezo nilivyo vieleza bila kuangalia maswala ya uzuri wa sera au vitu vingine

Kwa upande wa CHADEMA sitakuwa na mengi sana ya kuandika sababu napata shida kidogo kupata hasa mtajiwao ukowapi, kama nitakuwa sivyo nahakika wadau mtanisawazisha

WASOMI NA WAFANYAKAZI KADA YA CHINI
Hili ni kundi ambalo CHADEMA wamefanikiwa kuli teka vilivyo,
wasomi wengi hasa wa mijini na vyuoni wamekuwa mstari wa mbele kuiunga mkono CHADEMA kutokana na sera zake zenye matumaini kwao na kwa taifa kwa ujumla.
kundi hili linaonekana kuyumbishwa kidogo kutokana na sintofahamu iliyotokea juu ya wanafunzi wa vyuo kuonekana watashindwa kupiga kura
Wafanyakazi wa kada kuanzia kati na chini na wafanyabiashara ndogo ndogo nao ni kundi lingine ambalo linaiunga sana mkono chadema na kuonekana mtaji mkubwa kwa CHADEMA na kundi hili linaonekana sana mijini

AGENDA YA UFISADI NA KASORO ZA CCM
Kimantiki huu ndio mtaji mkuu wa CHADEMA, mtaji ambao hauna kundi specific isipokuwa unatarajiwa kunyakua kura toka ktk makundi tajwa ya CCM ambayo sera kwao sio tija, tija kwao ni kupigia CCM.,
CHADEMA hawana mtandao mkubwa kama CCM wanategemea zaidi agenda hizo ili ziwa bebe kuwa shawishi wapiga kura kupata kura
Na agenda hizo pia zimetokea kuungwa mkono kwa kiasi kikubwa na NGOS mbali mbali na wanaharakati,

Sina nia ya kukatisha tamaa wapinzani,na katika siasa lolote laweza tokea na kila chama kinanafasi ya kushinda lakini kwa kuzingatia nilicho eleza hapo juu naamini hata wewe unapata picha ni chama gani kina nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi.
wingi wa watu katika kampeni sio kigezo kabisa cha kushinda kwani kila chaguzi tunaona mambo huwa hivi hivi, mwisho wa siku matokeo wote tuna yajua
Inawezekana kweli kabisa ikawa CCM haifanyi vizuri kiutawala, lakini sio kigezo cha wao kushindwa katika chaguzi na hasa kwa nchi zetu zinazo endelea, mfumo ni tofauti sana na nchi zilizo endelea.
Wito wangu kwa wanamageuzi,wanakazi kubwa sana yakufanya kuleta mageuzi zaidi ya kusimama majukwaani na kuikosoa CCM.
Ukisoma post nyingi utaona ni jinsi gani wana JF wanavyofikiria ushindi kwa upinzani ni rahisi, wao akili yao ipo katika kuibiwa kura tu, wanachoamini wao ukidhibiti wizi wa kura basi umeshinda uchaguzi.
Nahuu ndio ukweli mgumu kuukubali
Mwenye macho haambiwi tazama, let's wait nd see

Pulss
hayo uliyosema juu ya Mtandao wa CCM utafanikiwa tu kama katika kuwaandikisha walikusanya na Voters cards lakini kama wanachama walibaki nazo, CCM wajue katika kupiga kura ni mpiga kira na sanduku la kupiga kura tu huwepo katika chumba kile! wakati wasimamizi huwa meter kadhaa mbali...
 
Nasikitika sana mtoa hoja ana mawazo mgando na uelewa mdogo kiasi kwamba hawezi kuchambua mambo. Hii forum ni ya watu kujadili hoja za msingi sio kushabikia vyama. Kama umefuatilia utaona kuwa wanajukwaa wengi wapo-refer CHADEMA katika kukwaa ili huwa ni katika hoja zao za msingi. Sihitaji kukuelekeza ni hoja zipi, kama uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kiasi hicho nakupa pole

Nakushauri urejelee historia hususani ktk uwanja wa siasa utajua kuwa mabadiliko huletwa na watu wachache. Ukiacha mfano wa kenya, siju hata kama unafahamu kuwa Kulikuwepo na roman empire lakini ilianguka.Je Malecela alishindwa kura za maoni kwa sababu mtaji wake ulikuwa mdogo au. Kama ni mtu wa kuelewa utaelewa.
 
Kama nilivyosema awali tafsiri yako ni ya miaka 10 iliyopita unashindwa kuelewa mwaka huu ni tofauti kabisa, unasahau kuwa kuna vijana waliozaliwa 1990 hawajawahi kupiga kura na wako wengi tunaambiwa karibu nusu ya wapiga kura ni vijana, kuna wana CCM kama mimi ninayefuatana na mgombea wa CCM, kuna wazazi wangu ambao unasema ndiyo tegemeo la CCM nikikueleza msimamo wao wa mwaka 2005 ni tofauti kabisa na leo.

Kitu kingine ambacho unakisahau au umeamua kukificha ni CCM ya 2000-2005 si CCM ya leo it is not the same it is divided. Kampeni za mwaka 2000 na 2005 zilifanywa na CCM na wote ni mashahidi tuliona viongozi walivyokuwa kila pembe ya Tanzania tofauti na mwaka huu ambapo kampeni zinafanywa kifamilia.

But kama unataka kuendelea kujiridhisha endelea.
Unajua takwimu za wapiga kura zimekaaje mkuu? wapiga kura wengi wako vijijini wakiwemo hao vijana, hizi harakati tunazo ziona humu mijini wengi ni wazugaji na wanahama hama sana, kwa mfano jana hapa Dar na miji mingine kadhaa ilikuwa mshike mshike kumsikiliza Dr Slaa, amini usiamini kunasehemu kubwa tena sana hawakuwa hata nahabari kitu gani kinaendelea.
Nasema haya kupitia uzoefu, nimebahatika kutembe sana nchi hii ,najua ninachoongea.
najua upinzani utazidi kufanya vizuri mwaka huu kutokana na hii CCM ya sasa na nakubaliana na wewe imebadilika kwa kurudi nyuma. Lakini hii haiondoi dhana nzima ya nguvu ya CCM kushinda kwa maana ya makundi niliyoyataja,
Najuwa Upinzani utachota kura kadhaa kutoka haya makundi lakini si kwa kiasi cha kuishinda,kwenda ktk uchaguzi na baadhi ya sehemu hujasimamisha wagombea na sehemu zingine kusema ukweli wagombea wapo lakini wapo wapo tu hawana nguvu yoyote ni dalili ya kwanza kumpa point za awali mshindani wako
 
we sijui pus sijui kitu gani, unatiwa....i mean unatia bei gani za walipa kodi mfukoni mwako?...bata mtam laki mchafu na anakula uchafu....need i say more?
Sikutii..........I mean sitii hele yoyote ya walipa kodi zaidi ya mimi kulipa hiyo kodi
Feel me?

Nasikitika sana mtoa hoja ana mawazo mgando na uelewa mdogo kiasi kwamba hawezi kuchambua mambo. Hii forum ni ya watu kujadili hoja za msingi sio kushabikia vyama. Kama umefuatilia utaona kuwa wanajukwaa wengi wapo-refer CHADEMA katika kukwaa ili huwa ni katika hoja zao za msingi. Sihitaji kukuelekeza ni hoja zipi, kama uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kiasi hicho nakupa pole

Nakushauri urejelee historia hususani ktk uwanja wa siasa utajua kuwa mabadiliko huletwa na watu wachache. Ukiacha mfano wa kenya, siju hata kama unafahamu kuwa Kulikuwepo na roman empire lakini ilianguka.Je Malecela alishindwa kura za maoni kwa sababu mtaji wake ulikuwa mdogo au. Kama ni mtu wa kuelewa utaelewa.

La mawazo mgando mkuu siwezi kulijibu maana hayo ni maono yako na lazima yaheshimiwe, maana inawezekana ikawa kwako wewe kuisifia chadema au kueleza yale unayo yapenda wewe ndio kuwa na hoja za msingi vinginevyo niupeo mdogo wa kufikiri

Kwenye red, Ninani kwakwambia CCM itatawala milele?, na sielewi hapa historia inaingiaje mkuu? au unamaana kwakuwa Roman Empire ilianguka ndio na CCM ianguke mwaka huu, kwanini sio 1995,2000,2005 au miaka ijayo.
tathimini yangu inahusu uchaguzi wa mwaka huu mkuu, sio tathimini ya milele, wala haimaanishi CCM haita angushwa daima
 
Back
Top Bottom