mang'ang'a
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 828
- 379
kaka salama? Naunga hoja yako asilimia 98.8, nadhani chadema wanajisahau kuwa oya oya nyingi sio wingi wa kura.
Kama sisiem wanamtaji mkubwa wa watu kama unavyodai, ni kitu gani kinawasumbua kuweka mabango makubwa kumtangaza mtu aliyekua Rais kwa miaka mitano? ni wazi alikua anaonekana kwenye vyombo vya habari hivyo hakukua na sababu kutumia fedha nyingi kwa matangazo badala yake fedha zingesaidia hata kwenye zahanati labda wangepata kura.
MABADILIKO NI LAZIMA